Na hili ni Toto Jinga lisilolala na hela.Na hili ni gazeti
Sio mtaalamu upande huh, lakini kuna ukweli. Nimetumia flat za aina mbalimbali lakini Nina kitivii changu za chuo "bush" huwa picha zake nazielewa hadi nalazimika kukiwasha Mara moja mojaWengi hili jambo hamlijui tu
Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv
Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen
Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo
Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu
[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Hahahah eti kina mr.Uk[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hizo milioni NNE kwa usawa huu si bora ninunue kagari hata kama kanafanana na ka Mr BeanWewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.
true me binafsi niliwahi kufanya utafiti sema tu fasheni zinatuchanganya na ndio maana wanzetu wazungu wanatumia vitu vingi ikiwamo na tv za zamani vina ubora zaidiWengi hili jambo hamlijui tu
Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv
Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen
Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo
Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu
[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Samsung nazo baadhi znarangi mbovuNunua Samsung... Alafu urudi na Uzi mpya
Sio kweli.Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo
kweli kunabaadhi ya chogo nighataree kwa rangiUmenunua ama umeuziwa flat bandia...chogo hazina HD
Huyu mtoa mada ame-generalize flat screens. Ni kweli ana point. CRT ina picha bora kuliko LCD,LED TV. Ndio maana kila siku wataalamu wanabuni teknolojia kuimarisha ubora wa picha wa flat screen na ndio sasa hivi kuna hio UHD 4K. Sasa wengi wanaombishia na kumbeza mleta mada hata UHD 4K tv hawaijui wengi wana LED Smart TVs za kawaida ambazo ukiiunga na king'amuzi cha kawaida bila HD picha inakuwa sawa au chini ya ubora wa CRT.Sio kweli.
Ubora wa picha unatakona na input kwenye TV yako.
Mfano:
- Kwenye TV ya 4K UHD ukiweka decoder ya MPEG2 ambapo connection ni ya AV cable utapata picha isiyo na ubora kwa TV station utakayokuwa umeweka.
- Na iwapo ukabadili decoder ya HDm connection ukatumia HDMI cable kituo hicho hicho cha TV utapata picha iliyo bora.
Hivyo basi ubora wa picha unatokana na kifaa kilichounganishwa kwenye TV husika, Je kina toa picha yenye ubora upi???
Je ni 480p, 720p au 1080p???
nimekusomaSio kweli.

vp kuhusiana na STARTIME tv zenye king'amuzi ndaninimekusoma
Uko sahihi, ni kweli, Ukichukua video ya 480p na kuitazama kwenye CRT na Kwenye FLAT TV, kwenye CRT utapata picha iliyo nzuri kiasi ukilinganisha na kwenye FLAT TVTV zinazoishinda CRT kwa picha pound for pound ni very high end LEDs na UHD 4K hizi za kawaida ni mazoea tu na kufikiri flat screen ni bora.