Tuseme ukweli: Tv nyingi za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata Flat screen

Wewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.
Duh.bei ya gari hiyo kabisa. Unapata pajero
 
Ushamba ni mzigo walah! CHANEL za bongo nyingi hazirushinmatangazo yenye quality na ubora ktk display! Na hii ni kwasababu ya vifaa na utaalamu wanaotumia kufanya production na editing! ...

Hili hupelekea picha zao kua hafifu na mbaya ktk TV zenye resolution kubwa hasa Hizi za kisasa... mnaita flat screen!

Angalia chanel za mbele hasa hawa supersport uone wanavong'aa ktk screen!

Picha utayopiga ktk simu ya tecno W3 ukiipeleka ktk iphone 7 au galaxy S9 itaonekana kituko japo ktk tecbo itaonekana ni bora... resolution ndio tatzo hapo! Tv imezidi Ubora hayo mawimbi husika.
1. Kwani kakuambia huwa anaangalia tuu channel za kibongo?

2. Kwani Tv screen yake kuonekana ni flat lazima iwe na ubora wa picha?

3. Kumbuka asilimia kubwa ya TV tunazouziwa hapa bongo pamoja na kuwa na majina ya makampuni makubwa na bora nyingi zinatengenezewa kwenye mameli katikati ya bahari ,kwa maana nyingine ni magumashi matupu ..kwa hilo mtoa mada utampinga?

4. Kwa kuwa wafanyabiashara wameshajua wabongo ni washamba na wakifika dukani wanauliza" hiyo flat" ni nchi ngapi na ni bei gani? bila kuangalia ni halisi? na kama ni halisi inatumia technolojia gani? Hivyo wakaungana na wale wenzetu kutoka shangai wanatengeneza madude ya ajabu na kuja kuyajaza madukani

5. Mtoa mada yupo sahihi kwa sababu asilimia kubwa ya TV za chogo tunazozitumia ni mitumba kutoka japan , uk na Germany ambazo ni original kabisa lakini asilimia kubwa ya flat tunazotumia kutokana na ushamba wetu na kupenda vitu vikubwa kwa bei rahisi ni vya magumashi. Hivyo wakati unamnyooshea kidole mtoa mada kuwa ni mshamba wa kumiliki chogo kumbuka wewe ndio mashamba zaidi unayemiliki flat la magumashi
 
Wengi hili jambo hamlijui tu

Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv

Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen

Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo

Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu

[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Flat screen zitasubir Sana kwa ubora wa picha kwa chogo....sanaaa Tena Sana nilinunua flat baadae nikaona ubovu wake nikarud kununua chogo
 
Wengi hili jambo hamlijui tu

Ukweli ni kuwa Tv za kichogo zina ubora wa picha kushinda hata flat tv

Mfano tv za kichogo za Sony ubora wake wa picha ni nzuri mnoo kuliko hata hizi flat screen

Mfano: Ukitazama taarifa ya habari ya itv saa mbili kwa flat inakua na muonekano mbovu wa picha lakini kwa chogo inaonekana vizur mnoo

Tv za chogo zina raha yake hususan ubora wa picha
hususan kwa channel za kibongo na africa yaan bora uwe na chogo tu

[HASHTAG]#BORANIBAKICHOGOTU[/HASHTAG]
Flat screen zimeundwa kuwa 'disposable' baada ya muda mfupi wa matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe, sema tu huna pesa mkuu au kama sivyo unachukua ile Mi -Tv feki Pata
kitu Kinaitwa WHAFEDALE ORIGINAL halafu ulete mrejesho hapa.Mimi hii ninayoitumia sijui
ni inch ngapi lakini kama sio 42 basi ni 60, yaani baalaa. Nimeipata kwa milioni 4.
Yaani unashindwa kuiona tofauti kati ya inchi 42 na 60!!!!!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom