Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

Nawaona babu seya na wanae wakipanda stejini wakiwa wameva nguo za ccm wakiisifu ccm na dereva wao, pembeni namwona zakayo na miwani yake akitabasam kwa mbali.
 
Watu wanashindwa kuelewa logic ndogo kama hii......

Sio kwamba hawana hatia kwani mwenye kuwasafisha ni mahakama iliyowakuta na hatua iwe kwa kusingiziwa au kwa haki.....Bali raisi ametumia mamlaka yake kikatiba kutoa msamaha huo ambao mamlaka hayo hayausiani na hukumu za mahakama.....

Ndio maana hata mzee aliyekutwa na hatia ya kuua na kuhukumiwa kunyongwa amefaidika na msamaha huo......

Kabisa.

Na hivyo ndivyo nielewavyo mimi!

Hatia waliyopatikana nayo iko palepale. Rekodi yake haitobadilishwa.

Ila wamepewa tu msamaha wa adhabu waliyopewa.

Msamaha waliopewa hauondoi hatia waliyopatikana nayo hata kidogo.
 
Msemo mpya mtaani "Mabashite bahasha hayatupani"
 
Yeye magufuli ndie wakuona Aibu kwani alibeza sana pale mheshimiwa lowassa aliposema kuwa ataangalia upya hukumu zao kwamba amepanga kuwaachia wahalifu. Sasa Niko wapi kayameza matapishi yake

usifukue makaburi mkuu
 
Yeye magufuli ndie wakuona Aibu kwani alibeza sana pale mheshimiwa lowassa aliposema kuwa ataangalia upya hukumu zao kwamba amepanga kuwaachia wahalifu. Sasa Niko wapi kayameza matapishi yake

Nilidhani nakumbuka mimi peke yangu.Ungetupia na kavideo kake ingependeza zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: bne
Kama watakuwa walitenda makosa hayo basi adhabu yao itaendelea kuwafuata hatakama watakuwa uraiani,lakn binafsi nimejawa na furaha kubwa kuachiwa kwa watu hawa
Mungu awape wepesi na kuwaadhibu wale waliowasingizia kama ni kweli,pia kwa mtazamo mwingine hatakama walitenda makosa hayo kwa muda waliotumikia kifungo chao basi inatosha wao warudi uraiani na kumalizia maisha yao yaliyobaki na ndugu na jamaaa!
 
Kabisa.

Na hivyo ndivyo nielewavyo mimi!

Hatia waliyopatikana nayo iko palepale. Rekodi yake haitobadilishwa.

Ila wamepewa tu msamaha wa adhabu waliyopewa.

Msamaha waliopewa hauondoi hatia waliyopatikana nayo hata kidogo.

Hisia zinawatoa kwenye uhalisia WaTanzania
 
Shikamoo Mange,tunangoja utabiri wa Bashite na Lulu nao utimie
aisee.. Huyu angekua idara ya usalama wa taifa, mi ningekua sizonje ningemchagua kua afisa wa ngazi za juu kuhusu usalama wa taifa, huyu tunajua kua anapewa nyeti na watu, lakini kichwani yuko vizuri kuchambua, ndio maana hutoa utabiri wa kweli kabisa, tuache utani huyu dada ni mzalendo wa kweli8) hata kama kuna watu wanamuona mzushi, ila ipo siku tutamkumbuka! Big up kwake!
 
Nawaona babu seya na wanae wakipanda stejini wakiwa wameva nguo za ccm wakiisifu ccm na dereva wao, pembeni namwona zakayo na miwani yake akitabasam kwa mbali.
Ikiwa hivyo basi CCM ni genge la wabakaji na walawiti pamoja na wasagaji na nk.
 
Kabisa.

Na hivyo ndivyo nielewavyo mimi!

Hatia waliyopatikana nayo iko palepale. Rekodi yake haitobadilishwa.

Ila wamepewa tu msamaha wa adhabu waliyopewa.

Msamaha waliopewa hauondoi hatia waliyopatikana nayo hata kidogo.
Inshort ni kuwa aliyefungwa gerezani alikuwa naniluu na kule ikulu kuna naniluu ambaye aliionja akaiona unaniluu wake akasema yule naniluu wa gerezani hastahili kufungwa maana hii naniluu ni tamu balaa
 
Kama watakuwa walitenda makosa hayo basi adhabu yao itaendelea kuwafuata hatakama watakuwa uraiani,lakn binafsi nimejawa na furaha kubwa kuachiwa kwa watu hawa
Mungu awape wepesi na kuwaadhibu wale waliowasingizia kama ni kweli,pia kwa mtazamo mwingine hatakama walitenda makosa hayo kwa muda waliotumikia kifungo chao basi inatosha wao warudi uraiani na kumalizia maisha yao yaliyobaki na ndugu na jamaaa!
Kula tano
 
hapo kuna mtu kapruviwa wrong but......wasiwasi wangu mbona anamaliza kiki zote mwaka huu mwakani atafanya kipi cha kushangaza!!!!
 
Back
Top Bottom