Kwani aliyesema ukutwa ujengwe si mzee wa kukurupuka au unajifanya hujui? alifanya study kabla ya kusema mwambie aende UN akatiririke kama wenzake Kagame na kenyattaJe umejiuliza kuwa ni wewe tu ndio mwenye uelewa huo?? Yaani wooote hawajaona, wewe tu!
Ulichobahatika kutoka nacho chuoni ni hiki tu mkuu?[emoji13] [emoji13]Hiyo EIA wamefanya muda gani?
Wame consider factors kama movement asilia ya maji?
Kwani ulizuiwa?Yani kusimama kwenye mstari ndio ukuta? hebu acheni usanii sisi tupo busy kumuombea Lissu
Ndio Mkuu Nilivaa Tshirt ya pray for Lissu nikakamwatwa lakini waliokuwa wamevaa za pray for Dikteta walikuwa wanapita bila bugudhaKwani ulizuiwa?
Swali la msingi kabisaNaomba kuuliza hilo suala aliloagiza mkuu wa nchi hivi pesa zake huwa zinakuwa zishapitishwa ktk bajeti au?
Aliyetuloga sisi Mungu amlaani, na sijui tutakua wajinga hadi lini, Na bahati mbaya hakuna mtu wa kuongea, tumekua kama wacheza ngoma kila mdundo tunachezaUkiangalia ripoti ya madini ya tanzanite inaonyesha tunaibiwa through mikataba pamoja poor management,,,, issue ya madini kutoroshwa kwa njia ya za panya nikiasi kidogo sana,the main tunaibiwa through mikataba mibovu so badala yakuanza namikataba tunanza ukuta,
HatujapewaWatumishi wamepewa stahiki zao?
Tumieni wataalam kuanalaizi mambo hayo, inawezekana kabisa japo sijui kama wamefanyaAisee, tuombee kuwa kiasi kilichobakia huko chini ni kikubwa kuliko kilichokwisha chimbwa. Na tusisahau kuwa nchi haijawahi kuwa chini ya mtu mwingine mbali na ccm!
Rais ni taasisi complex sana tena ukiiendelea kuingalia na macho ya kisiasa zaidi ndio utaendelea kumuona Jpm tu. Ukielewa robo tu ya hiyo utaacha kuangaika na mkulu.Kwani aliyesema ukutwa ujengwe si mzee wa kukurupuka au unajifanya hujui? alifanya study kabla ya kusema mwambie aende UN akatiririke kama wenzake Kagame na kenyatta
Umekunywa maji meng lakin tayar kwa vipimo?Naomba kuuliza hilo suala aliloagiza mkuu wa nchi hivi pesa zake huwa zinakuwa zishapitishwa ktk bajeti au?