Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,814
Mkuu, si kuna bajeti ya maafa? Wizi wa rasilimali zetu ni maafa kwa taifa hasa uzao wa masikini... 😵😱Naomba kuuliza hilo suala aliloagiza mkuu wa nchi hivi pesa zake huwa zinakuwa zishapitishwa ktk bajeti au?