Wanaume mnasababisha tuwe wanene, Mungu anawaona!

Unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! Unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita.

Saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati, miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3, kababu 2 na soseji mbili, inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

Saa nne miss twende bana tukanywe supu, huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

Mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu unaenda na wageni inabidi tena ule utakataaje kula na wageni si utaonekana unaloga? Napo hakuna jinsi wala namna.

Jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu, njoo tule hapa bana wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

Sijui nifanyeje tena!
Uroho wenu wenyew mkasingizie wanaume kweli.? Kwan unapo karibishiwa na ukasema tu Ahsante na ukavunga utarogwa.? Kupungua ubonge nyanya kwanza ukate roho ya Tamaa usiwe mama kula kula, ushaletewa sambusa, soseji na nin cjui haya supu ya nin.? Lunch ushakula na mdosi hyo noon sas hyo alasiri Chips mayai za nin.? Ni uroho wenu tu sio kila kitu lazima upeleke pwani..

#Na ingekuwa mnatoa Bupa kama mnavyokubali chakula [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
haya mambo hayaitaji hasira mkuu
 
yaani we wale easy to carry hua mnaitwa hivyo huku maofisini!
 
Unaamka asubuhi na plan yako nzuri ya kukata weight! Unakunywa maji moto ya limao tena nusu lita.

Saa mbili anakuja mwanaume huko na kimfuko chake anakuwekea kwa dawati, miss karibu breakfast ukichungulia ndani kuna sambusa 3, kababu 2 na soseji mbili, inabidi tu ule maana hakuna jinsi.

Saa nne miss twende bana tukanywe supu, huyu ni mwingine tena sijui alilala na bia zake inabidi uende tu maana hakuna jinsi na supu unywe.

Mchana boss andaa sehemu tukale lunch na wageni muhimu unaenda na wageni inabidi tena ule utakataaje kula na wageni si utaonekana unaloga? Napo hakuna jinsi wala namna.

Jioni unajitahidi kupiga zoezi njiani tena unakutana na mtu, njoo tule hapa bana wewe nakujua bachelor unakula tena chips mayai za fasta maana hakuna jinsi.

Sijui nifanyeje tena!
Usiku wanakuchangamsha 6*6
 
ahahaaa acha tu jamani Mungu anisaidie tu maana nitapasuka tu sasa
I will just be there for you when you will be in need of somebody special to treat you out. Kupungua uzito ni wewe tu, waweza kula raha na kuzingatia mazoezi ya nguvu na ukabalance mwili kwa jinsi utakavyojipendea we mwenyewe.
 
Nani anafanya ujinga huo kwa mwaka wa magufuli

mwaka mugumu
 
achana nao nilishakueleza, maneno mengi huja kwa wapendanao. hata mti wenye matunda ndio hupigwa mawe.

jst cool down na mambo yetu yaende. atabaki kusubiri
Hahaaaaaaaa nitabaki kusubiri sawa,lakini muda sio mrefu text zako kama ifuatavyo;"Hi baby,za siku?",sijibu,unarudia tena:"Baby pole na majukumu" nauchuna,unarudia text:"Baby usinifanyie hivyo" nakujibu:"nisikufanyie hivyo ndio nini? unaanza :"Unajua baby nilikuwa na kitu nataka nikuulize ujue" Hahaaaaaaaaaaaa,ushakomeshwa huko na umeliwa kisamaki mpaka umebakia bomba tupu,eti kna kitu nataka nikuulize ebooooh,yaaani unajilengesha hivi hivi wazi wazi,dah basi hapo kwa kuwa mimi nina huruma utakuwa girl friend mwenza au vipi?
 
Umesahau na usiku kunyunyiziwa protein grade 1.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom