Nimekutana na hizi clip mbili naona msisitizo wa maswala ya kodi. Kweli nimeamini bila kodi nchi haiwezi sogea. Nadhani kuna umuhimu na tra wakaongeza nao elimu kuhamasisha ili tujue taratibu na...
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es...
Ukinunua dai Risiti,
Ukiuza toa Risiti.
"" "" "" "" "" "" "" "" "" "
TRA wamekuwa wakiwaonea wafanyakazi wa Tanzania kupitia pay as you earn [PAYE] hasa pale mfanyakazi anapopata mgogoro...
Dar ni Jiji la kwanza kwa maendeleo Tanzania na yamkini Afrika Mashariki.
Dar imejaa Fursa mbalimbali za kujikwamua Kiuchumi kwa kijana mtafutaji na mpambanaji hasa ambae ana lengo la kutoboa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kitaaluma ni mwalimu wa masomo ya chemistry na biology. Nina uzoefu wa kufundisha O level na A level kwa zaidi ya miaka tisa sasa.
Ninao uzoefu wa kuongoza pia katika nafasi za ukuu wa shule...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine?
===
Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza...
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.