Paul Okoye, maarufu kama Rudeboy kutoka kundi la muziki wa Afrobeats la PSquare amezua gumzo mitandaoni baada ya kuwashauri wanaume pia kukumbatia hulka ya kukataa mpenzi wa kike asiye na hela...
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata...
Habari.
Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu...
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hellow brothers and sisters.
Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu.
Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri.
Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.