Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa. Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni...
4 Reactions
16 Replies
193 Views
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa 😂 Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri...
1 Reactions
3 Replies
4 Views
Mimi ni mzaliwa wa mwisho kati ya watoto tisa, wanaume watano na wanawake wanne Wakati mzee wetu anaandika urithi aliandikia wanaume wanne tu akaagiza shamba ligawe mara nne tu wakati mimi ni...
12 Reactions
186 Replies
3K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Habari za Leo wanajforum? Tafadhari, naomba tupeane elimu ya talaka hapa jamvini. Elimu ya talaka ni muhimu sana lakini bado haitolewi vya kutosha, tangu nisome elimu yangu, sikuwahi kukutana na...
1 Reactions
8 Replies
69 Views
Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia Bunge la sasa si sawa na bunge la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
jamai jamani naombeni niwaambie ukweli, binafsi sipendi CCM iendelee kuwa madarakani lakini pia sipendi Lisu awe Rais. CCM nimeichoka kulingana na mambo wanayofanya ahadi ni nyingi Ila...
3 Reactions
8 Replies
82 Views
Kitendo cha mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda kumdhalilisha afisa wa serikali mwanamke huko Longido mkoani Arusha hakikubaliki. Makonda akimhoji mtumishi huyo alisikika kumwambia mbele ya...
0 Reactions
11 Replies
197 Views
SONGESHA na MIKOPO mingine ya simu imepelekea watumishi KUNYIMWA mikopo WAnapoenda bank kukopa, na hii ni kutokana na mamlaka zinazosimamia mikopo kuweka utaratibu wa madaraja high risk,risk na...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA ni chama cha ajabu sana,ni chama kinachotia aibu sana,ni chama kinacholeta fedheha kubwa sana,ni chama kinachoendeshwa na kwenda utafikiri mtu aliyepofuka macho,ni...
7 Reactions
47 Replies
883 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,894
Posts
49,701,784
Back
Top Bottom