Binafsi sipendi CCM iendelee kuwa madarakani lakini pia sipendi Lisu awe Rais

Amocnolo

Member
Oct 16, 2023
19
25
jamai jamani naombeni niwaambie
ukweli, binafsi sipendi CCM iendelee
kuwa madarakani lakini pia sipendi
Lisu awe Rais.
CCM nimeichoka kulingana na mambo
wanayofanya ahadi ni nyingi Ila utekelezaji
hakuna.
Lisu akiwa Rais hiyo miaka mitano
atakuwa ametengeneza mashoga wengi
sana kiufupi simuamini hata kidogo.
 
Punguza unafiki. Lengo lako ni kumkandia Lissu. Halafu umejuaje Lissu anagombea urais?.
 
jamai jamani naombeni niwaambie
ukweli, binafsi sipendi CCM iendelee
kuwa madarakani lakini pia sipendi
Lisu awe Rais.
CCM nimeichoka kulingana na mambo
wanayofanya ahadi ni nyingi Ila utekelezaji
hakuna.
Lisu akiwa Rais hiyo miaka mitano
atakuwa ametengeneza mashoga wengi
sana kiufupi simuamini hata kidogo.
"Atakuwa ametengeneza mashoga wengi..."hii kauli ina ukakasi sana- funguka ueleweke una maana gani? hata wewe tukikuchunguza ipo siku mkeo au mchepuko wako atasema ulisha wahi kukosea na kudumbukiza pasipo husika, sasa na wewe pia ni shoga au? Hebu funguka tukuelewe una maana gani na hiyo kauli "Atakuwa ametengeneza mashoga wengi..."?
 
Ukiona mtu anataja sana Ushoga ujue mtu huyo siyo riziki
 
Back
Top Bottom