Namtafuta mtu kama Tundu Lisu ndani ya CCM mwenye Ujasiri na Asiyetanguliza Tumbo lake mbele na kuacha maslahi ya Taifa nyuma, Labda mh Luhaga!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
86,460
147,189
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
 
Mtu wa aina hiyo hakuna labda miaka 50 ijayo.
 
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
Ila Tundu Lissu naye kwenye suala la $ hana uzalendo ujuwe?!
 
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
Kizazi cha wazalendo kiliondoka, hawa waliobaki ni 1% tu ya bunge
 
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
Perfect kabisa hadi mitusi, kukosa shukran…. Kukandya kila kitu
 
Yaani mzee wangu sijuwi wakati mwingine unaandikaga ukiwa unawaza nini au umekumbwa na nini au sijuwi huwa unakuwa umetoka viwanja vipiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ.
 
Najua timing yako iko wapi, lkn ukweli unaujua.

Njaa imemfanya jamaa akubali kutuletea fisadi ndani ya ikulu.

Baada ya kupewa pesa alibadili msimamo na kuanza kucheka cheka hovyo kama zuzu.
 
Attachments

  • download.jpeg
    download.jpeg
    10.9 KB · Views: 1
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    10.2 KB · Views: 2
  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    34 KB · Views: 1
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
luhaga hana chochote alipokuwa waziri uliona akiongea chochote? hizo zooote ni chuk za kukosa uwaziri tu
 
CCM imewahi kuwa na wazalendo haswa mfano Mzee Moses Nauye na Rashid Mfaume Kawawa

Nawatafuta wanasiasa kama hawa ndani ya CCM ya Leo siwaoni Kabisa Kabisa πŸ˜‚

Walau Wenzetu Chadema wanaye Jasiri Tundu Antipas Lisu

Nawatakia Sabato Njema πŸ˜„πŸ˜„
Kafulila ni zaidi ya huyo Lissu kimisimamo najua unajua hili, Escrow Lissu alifuata Kafulila akagoma, 🀣🀣
 
CCM ukitumia akili yako unapotea,ndiyo maana wanaziacha home,unalinda maslahi yako binafsi kwanza
IMG-20240522-WA0007.jpg
 
Nyinyiem ukiwa jasiri mwongea ukweli wanakutuma kwa Mungu.
Mwulize Kolimba na Deo.
 
Back
Top Bottom