Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata...
1 Reactions
3 Replies
75 Views
Habari. Naomba kujua sehemu yenye tambarare mazingira ya dar es salaam maendeo ya kivule gharama ya ujenzi wa nyumba ya vyumba 3 vya kulala vyote self, jiko, dining na sebule inaweza kugharimu...
0 Reactions
5 Replies
61 Views
Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa...
9 Reactions
37 Replies
796 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
11 Reactions
80 Replies
922 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
519K Replies
30M Views
Hellow brothers and sisters. Kuna jambo limezuka sikuhizi ama kuenea kwa kasi katika jamii yetu. Kuna baadhi ya maneno yamekuwa yakisikika midomoni mwao watu hasa vijana wa kisasa, maneno hayo...
6 Reactions
92 Replies
763 Views
Naitwa Bichwa Komwe. Mimi ni mtoto pekee katika familia ya Kitajiri. Baba yangu alikuwa muajiriwa katika kampuni ya wazungu, na alifanikiwa kuchuma fedha na mali nyingi. Mama yangu ni msomi na...
25 Reactions
104 Replies
1K Views
Wakuu kuna fundi, Amefanya Wiring kwenye nyumba ila kuna kitu naona kama ni kigeni naombeni msaada kujua kama ni sawa au Kuna shida. Kwa kawaida switch Huwa na matundu Matatu tundu moja juu na...
1 Reactions
13 Replies
193 Views

FORUM STATS

Threads
1,857,064
Posts
49,705,048
Back
Top Bottom