Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi...
6 Reactions
100 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji...
2 Reactions
24 Replies
217 Views
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
0 Reactions
13 Replies
303 Views
Ukiangalia mapigano yanayoendelea sudan utagundua kuwa watu weusi ni wajinga sana Hawa wasudani walioingia katika uislam walianza kujiona wao ni waarabu kwa mtindo huo akawa anashirikiana na...
13 Reactions
77 Replies
1K Views
Kama kawaida yake uislamu ni dini ya haki na isiyotoa mwanya wa ujanja,utapeli na unyonyaji. Masheikh mbali mbali wameendelea kuweka wazi msimamo huo wa uislamu ambao umo kwenye Qur'an na suna za...
5 Reactions
17 Replies
283 Views
Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc. Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika. Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili...
7 Reactions
177 Replies
4K Views
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe. Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
6 Reactions
46 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
15 Reactions
134 Replies
2K Views
Guys good evening Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa. Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta...
5 Reactions
14 Replies
163 Views
Iko hivii; Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
8 Reactions
35 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,105
Posts
49,707,054
Back
Top Bottom