Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna asiye na adui. Na hakuna ambaye sio adui kwa mwingine. Yaani wewe unavyojiona hapo kuna mtu anakuona ni adui yake. Halikadhalika wapo unaowaona ni maadui...
Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo...
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone...
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu.
Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.