Baada ya kuona nchi imekosa internet baada ya kuharibika kwa waya (Fiber) huko baharini na watu kuitaja Starlink inayotumia Satelite kama mbadala, imenibidi niokoteze maarifa kidogo google kuhusu...
(Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu)
Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu.
Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya.
Nilikupenda sana wewe ila mke...
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina.
Natamani nikimbilie South Africa...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji ( nadhani...
Nauliza tu kwa sababu dalili za figisu zimeanza mapema kabisa Kwenye Uchaguzi wa Ndani wa Chadema
2025 hatupendi tusikie visingizio vya CCM kuhonga Wagombea wa Chadema kana Kwamba Wapinzani ni...
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine...
Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.