Tundu Lissu na Komredi Kinana wanakubali Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na Walakini. Je, 2025 kwenye Free & Fair Election CHADEMA watavunja rekodi ya 2015?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,950
146,114
Nauliza tu kwa sababu dalili za figisu zimeanza mapema kabisa Kwenye Uchaguzi wa Ndani wa Chadema

2025 hatupendi tusikie visingizio vya CCM kuhonga Wagombea wa Chadema kana Kwamba Wapinzani ni Chadema peke yao

Mlale Unono 😀😀
 
Hivi nani anayekudanganya na kumuamini kuwa 2025 uchaguzi utakuwa Free an fair. Kama kweli hawa watu wangekuwa wa kweli basi tungeiona hiyo nia yao. Inaelekea mwenzetu huoni maigizo ya Maza kwa kuwa amewatanguliza Machawa.
 
Tume Huru ya Uchaguzi
 
Back
Top Bottom