Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

In life everything that happens to you is because you allowed it to happen. Yes, some people may betray you and lie but at the end of the day you need to stop wasting your time blaming others, be...
4 Reactions
40 Replies
366 Views
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi...
2 Reactions
22 Replies
283 Views
Habarini WanaJF. Naomba mwenye best way ya kuinvest money na KUPATA hata 5% of it per month anisaidie maana nilijaribu kuweka tigo pesa kibubu tsh 300,000 TATU na KUPATA gawio la tsh 600 kwa mwezi.
2 Reactions
5 Replies
124 Views
Shukrani kwa wote. Hivi kwanini hii nchi mtu akiwa na influence kidogo tu anakimbilia siasa? Wasanii, Comedian waigizaji wote wanataka Ubunge, hivi wana uelewa wa kutosha kuwapa dhamana ya...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
5 Reactions
101 Replies
1K Views
Imagine kwa muda wa karibia 2 hours sasa tuko kwenye foleni kupisha Mwenge. In this Millennium tunapotezeana muda kiasi hichi kisa Mwenge! Disappointment ya hali ya juu. Wakazi wa Kigamboni...
22 Reactions
116 Replies
2K Views
Kwa ujio wa Artificial Intelligence umuhimu wa kujifunza na kuwa na uelewa wa programmig na coding ni muhimu sana. Kuna ajira nyingi sana ambazo ni remote zipo mitandaoni zinazohitaji mtu mwenye...
2 Reactions
5 Replies
406 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi...
2 Reactions
21 Replies
468 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,360
Posts
49,597,676
Back
Top Bottom