Tunaomba ufafanuzi mkuuNunuaa bonds..
Una muda au wewe ni mwajiliwanaogopa loss kutoka na lack of experience kweny biashara
Mhh huko nahs wanawema watu wenye pesa ndefu hiyo pesa bora atafte biashara ndogo afanyeNunuaa bonds..
Basi usifanye business ukiingia kwa biashara tegemea risk na lazima uwe risk takers ndo mana wachache ndo wataotoboa weng huishia njiani..naogopa loss kutoka na lack of experience kweny biashara
Nikiwa kama mtanzania niliye pata chanjo ya corona na roho yangu inaniuma sana kuwaona nyie ambao hamjapata bado mnaishi.
Duuh maisha