Leo ndio ile siku ya mabingwa wa nchi Yanga Afrika kukabidhiwa kombe la ubingwa wa ligi ya Nbc.
Ikumbukwe huu ni ubingwa wa 30 kwa Yanga Afrika.
Kuwa nami paka mwisho ili kujua kile kinachojili...
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa
..
Na kuitosa marekani
Guys good evening
Tunaishi Kwenye dunia ambayo huruma ilishapungua kwa binadamu. Watu hawahurumii hisia za wenzao kabisa.
Mtu anaweza akaamka na akaona hawezi kuendelea kuwa na wewe, au unakuta...
Iko hivii;
Hapa mtaan kuna office za kubeti kwa hyo mara nyingi huwa nashinda hapo. Sasa kuna jamaa imetokea tu tumezoeana kwa sababu kila sku tunakutana humo ndanin(simjui jina wala sina details...
Ni mume wangu tuna watoto
Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini?
Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje...
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu.
Wewe unaikubali ipi?
===
Maoni ya wadau:
Mimi still ni fan...
Niko safarini kutoka kanda ya kati kuelekea Geita.
Nafika eneo fulani mkoani singida. Wale wenye sare nyeupe wananyoosha mkona kuashiria nisimamishe gari.
Yeye: Nipe leseni yako
Mimi: Hii hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.