Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Hii stendi naona watu wanasifia, na kuna wakati Waziri Mkuu alie da kukagua maendeleo ya Ujenzi, Ila tulinyimwa akili au zipo ila Uchwa umetuzidi.
Swali ni Je Hakuna Idara ya Intelijensia ya...
Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia.
Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza...
Anaweza jiuza...
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
Niliwahi kumshauri huyu mzazi kwamba uwezo wake kiuchumi wa kuweza kufunga wifi nyumbani na kuweza kumnunulia mtoto simu, sio kigezo cha kumwachia mtoto uhuru kwenye ulimwengu wa kidijitali...
Mzee wa Upako amesema yeye binafsi akimuangalia Mugogo anaona siyo Mhubiri wala Mwalimu bali ni Comedian (Mchekeshaji).
Pia amesema hawafahamiani sana zaidi ya kumuona kwenye Mtandao, na kipawa...
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA,
Naombeni mnisaidie hili swali,
Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo,
Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
Tanzania tuitakayo yenye wakazi wenye maisha na maendeleo makubwa ni Tanzania yenye mambo yafuatayo tena yakiwa katika ubora wake.
1. Mfumo bora wa uchaguzi na wenye kuzingatia haki na maendeleo...
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.