Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi yapitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga Kura

Blasio Kachuchu

Senior Member
Sep 7, 2016
180
123

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 ikiwa ni hatua muhimu katika kuzitafsiri sheria zilizotungwa na Bunge hivi karibuni.

Sheria zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazohusu uchaguzi ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 na Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024.

Kanuni hizo zilizopitishwa leo tarehe 11 Mei, 2024 kwenye kikao cha Tume kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar pia zinatoa mwongozo wa namna ya utekelezaji wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Baada ya kupitishwa kwa kanuni hizo, hatua inayofuata ni kuzichapisha kwenye gazeti la serikali ili ziweze kutumika rasmi ambapo kwa mujibu wa Tume, Kanuni hizo zitachapishwa tarehe 17 Mei, 2024.

Kanuni hizo zimepitishwa baada ya kuandaliwa na wataalamu na kupelekwa kwa wadau kwa ajili ya kutoa maoni yao ambayo yamefanyiwa kazi na kujumuishwa Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu.

Chanzo:
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

-----

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.

Kanuni hizo zimepitishwa baada ya kuandaliwa na wataalamu na kupelekwa kwa wadau kwa ajili ya kutoa maoni yao ambayo yamefanyiwa kazi na kujumuishwa kabla ya kupitishwa na Tume.

Wadau waliotoa maoni yao ni pamoja na Vyama vya Siasa, Taasisi za Dini, Serikali, Taasisi za Umma, Asasi na Taasisi zisizo za Kiserikali, Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu.
 
atua nzuri sana hii

nampongeza raisi wa jamuhuri ya mungano wa tanzania pamoja na serikali kwa ujumla
 
Kwanini wananchi wapigakura hatukuhusishwa, wakati kwenye mchakato wa katiba mpya chini ya Jaji Warioba tulihusishwa!
 
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 ikiwa ni hatua muhimu katika kuzitafsiri sheria zilizotungwa na Bunge hivi karibuni.

Sheria zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazohusu uchaguzi ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 na Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024.

Kanuni hizo zilizopitishwa leo tarehe 11 Mei, 2024 kwenye kikao cha Tume kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar pia zinatoa mwongozo wa namna ya utekelezaji wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Baada ya kupitishwa kwa kanuni hizo, hatua inayofuata ni kuzichapisha kwenye gazeti la serikali ili ziweze kutumika rasmi ambapo kwa mujibu wa Tume, Kanuni hizo zitachapishwa tarehe 17 Mei, 2024.

Kanuni hizo zimepitishwa baada ya kuandaliwa na wataalamu na kupelekwa kwa wadau kwa ajili ya kutoa maoni yao ambayo yamefanyiwa kazi na kujumuishwa Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu.

Chanzo: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi

-----

Na Mwandishi Wetu, Zanzibar.

Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imepitisha Kanuni za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi za Mwaka 2024 na Kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura za Mwaka 2024 ikiwa ni hatua muhimu katika kuzitafsiri sheria zilizotungwa na Bunge hivi karibuni.

Sheria zilizotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinazohusu uchaguzi ni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 na Sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024.

Kanuni hizo zilizopitishwa leo tarehe 11 Mei, 2024 kwenye kikao cha Tume kilichofanyika Mjini Unguja, Zanzibar pia zinatoa mwongozo wa namna ya utekelezaji wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwa ni maandalizi ya kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Baada ya kupitishwa kwa kanuni hizo, hatua inayofuata ni kuzichapisha kwenye gazeti la serikali ili ziweze kutumika rasmi ambapo kwa mujibu wa Tume, Kanuni hizo zitachapishwa tarehe 17 Mei, 2024.

Kanuni hizo zimepitishwa baada ya kuandaliwa na wataalamu na kupelekwa kwa wadau kwa ajili ya kutoa maoni yao ambayo yamefanyiwa kazi na kujumuishwa kabla ya kupitishwa na Tume.

Wadau waliotoa maoni yao ni pamoja na Vyama vya Siasa, Taasisi za Dini, Serikali, Taasisi za Umma, Asasi na Taasisi zisizo za Kiserikali, Wizara ya Mambo ya Ndani, Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum na Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu.
Tume ya matapeli hiyo.
 
Kwani Tume Huru ya Uchaguzi ina Wajumbe gani?. Tayari wameteuliwa au ni wale wale waliosimamia uchaguzi uliopita?. Mbona hii ni mpya.
 
Back
Top Bottom