Recent content by zzecaere

  1. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima hataki kubadili uelekeo, inawezekana ni mgeni na chama

    Freedom of speech
  2. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    Fuata ushauri uliopewa na watoa huduma.
  3. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu tatizo la mgongo lisilokoma

    Nenda hospital fanya x-ray & neurons test then kutana na physiotherapist watakusaidia hasa regional level ndo wanamiondombinu mizur hawa ma physiotherapy
  4. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Cefixime Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  5. zzecaere

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Laleni wa kuu . Tz aman tu hakuna kukaa lindo
  6. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Matumbo (Typhoid): Dalili na tiba yake

    Ivi mkuu unajua sababu ya wizara kuzuia? Usipotoshe watu kwa jambo usilolijua. Sikulaum elim ndio tatizo na pengine mhudum wa afya kitengo fulan ndio kakuelekeza hivo. Widal ni preliminary detection (qualitative) kwa salmonella . Ikiwa positive unaenda hatua inayofuata (quantitative) hii...
  7. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Msaada wa tiba ya Amiba sugu

    Hakuna amiba sugu, kati ya wadudu rahisi kufa bac amiba ni mojawapo. Shida ni pale ukienda hospital/maabara unataka aone kile ww unachofikilia kama kama umeenda private bac jua hawana mamlaka yakugeuza mtazamo wako ingia apige pesa uende. Lakn amiba ni hatar isipotibiwa, kwan inaweza sababisha...
  8. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Kauli gani ya Mwalimu ilikua inakukera!!?

    Leo unalala darasani uzeeni utalala Getini kwa watu/kampuni. Apo umetoka kupiga uji wa moto kila ukitungua macho wap
  9. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Nahitaji king'amuzi cha zamani cha Azam

    Nipo soweto 80 andaa. Na karibu mezan Kwa mazungumzo
  10. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

    Kuna magonjwa ya zinaa mengne lakn mkuu
  11. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Je, kuna watu ambao hawaambukizwi UKIMWI?

    zahanati hakuna hata hospti tal za mikoa huwezi pata sijajua maabara ya taifa lakin.
  12. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

    😋
  13. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

    haitibu ukoma tu mkuu.usikalili
  14. zzecaere

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dawa hii inaitwa Dapson Tab

    mkuu shukrani sana .nimeipata .
Back
Top Bottom