Naombeni ushauri kuhusu tatizo la mgongo lisilokoma

odamae

Senior Member
Nov 5, 2020
163
291
Tangu mwaka juzi mwezi wa 7 nilipatwa na tatizo la kuuma mgongo! Lakini niliwahi kupima vidonda vya tumbo wakanambia positive means nina vidonda vya tumbo.

Naombeni ushauri nifanye X ray au nifanye nini saizi nawaomba watoto tu wanikande na maji ya moto lakini bado naumwa maumivu napata hasa nikilala maumivu ni kama moto unawaka au umepaka pili pili!!
 
Pole sana Mkuu

Tunaweza kuwasiliana nikusaidie namna ya kuondokana na tatizo hilo.

Usisite,karibu pm
 
Tangu mwaka juzi mwezi wa 7 nilipatwa na tatizo la kuuma mgongo! Lakini niliwahi kupima vidonda vya tumbo wakanambia positive means nina vidonda vya tumbo.

Naombeni ushauri nifanye X ray au nifanye nini saizi nawaomba watoto tu wanikande na maji ya moto lakini bado naumwa maumivu napata hasa nikilala maumivu ni kama moto unawaka au umepaka pili pili!!
Nenda hospital fanya x-ray & neurons test then kutana na physiotherapist watakusaidia hasa regional level ndo wanamiondombinu mizur hawa ma physiotherapy
 
Back
Top Bottom