Kwa Dar ukienda Mansoor Daya mtaa wa samora/posta huwezi kuikosaWakuu poleni na majukum .naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa . nimezunguka maduka yote hapa mbeya nmekosa. tafadhali msaada
Wakuu poleni na majukum .naomba msaada wapi naweza pata hii dawa (dapson tab) nlienda na mgonjwa wangu kwa dermatologist alikuwa na kidonda mguuni akaandika hiyo dawa . nimezunguka maduka yote hapa mbeya nmekosa. tafadhali msaada
Ameandikiwa na mtaalamu wa magonjwa ya ngozi, zaidi www.google.comInatibu nn?
mkuu shukrani sana .nimeipata .
haitibu ukoma tu mkuu.usikalili