Recent content by zyuho

  1. zyuho

    JamiiForums Tanzania Is it worth it kununua Brevis milioni 6 na kuigeuza kutumia mfumo wa gesi kwa mizunguko ya town ?

    kwa hiyo 6m kwa maoni yangu ni bora uende kwa mark2 grande ya 1G alafu ndo ufunge gesi ? maana nazo bei yake mserereko
  2. zyuho

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    kama babaako ana 46 we unangapi?
  3. zyuho

    JamiiForums Tanzania Gx90, Gx 100, vs Gx 110

    Naitaka GX 110
  4. zyuho

    JamiiForums Tanzania Mchekeshaji Mtumishi Obama nae ajizawadia gari BMW 3 Series, E90 320i

    Iv mfano nikachukua hili brevis ( mnalo liita jini) nikatia gesi si unyama tu
  5. zyuho

    JamiiForums Tanzania Disco lililoingia Mmasai.

    Hahahaha
  6. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Tutahonga tu mkuu tupate passport kwani Kuna Cha bure ? Ata huduma ya bure lazima utoboke location hii
  7. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Ni kua na fursa zinazokuzungua kiasi kwamba unaamua ufanye ipi
  8. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Kila kitu ukifuata njia walizopita wenzio kunakua na urahisi
  9. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Ishi niwombe wili Holo wane ! Mambo gavala shi vivi ish
  10. zyuho

    JamiiForums Tanzania Wana jamvi heshima kwenu naomba kujua process za kutoka nchi hii maana naona ni miyayusho tu natamani nizamie Korea kusini huko

    Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye nchi yangu ya ahadi sasa natamani nikapate changamoto mpya kwenye nchi za watu.Naomba ushauri wenu...
Back
Top Bottom