Gwedu Gwedu
Member
- Jul 14, 2025
- 24
- 11
Ila nchi ya kwenda ni US,,,Ila kabla ya maongez hakikisha unamiliki passport
Nilitaka kumuuliza pia hili, mwisho wa siku asije kupoteza muda nchi za watu akarudi kuanza upya hapa.Tafsiri yako ya mafanikio ni ipi ?
Uarabuni ambako dada zetu huwa wanafanyiwa gang rape na wale mashwetani au uarabuni ipi ?Sehemu rahisi kwenda na rahisi kupata kazi ukiwa na passport ya Tanzania ni uarabuni tu.
Uarabuni ndio sehemu pekee.mtu anaweza kwenda na tourist visa halafu akiwa hukohuko akipata kazi anaweza kuibadili na kuwa work visa
Kwa wasichana chini ya miaka ishirini na moja wanahangaika bila mafanikio kupata passport kwa wakubwa kupata passport utazungushwa mpaka utoe rushwa.Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye nchi yangu ya ahadi sasa natamani nikapate changamoto mpya kwenye nchi za watu.Naomba ushauri wenu wakuu wa process za kuvuka ng'ambo ugumu na njia zake ni zipi. PM iko wazi kwa ushauri wakuu
Ukienda Oman utadhani upon Bagamoyo kiswahili nje nje na kubakwa jaribu India.Uarabuni ambako dada zetu huwa wanafanyiwa gang rape na wale mashwetani au uarabuni ipi ?
Sasa India si wanabakana hata wenyewe kwa wenyewe. Wataacha vip kukubaka wewe mgeni ?Ukienda Oman utadhani upon Bagamoyo kiswahili nje nje na kubakwa jaribu India.
Sasa si wanasema mishahara na marupurupu mazuri yapo katika mashirika na taasis za serikali kuliko huko serikali za mitaa? Sasa inakuwaje wewe unalia lia?Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye nchi yangu ya ahadi sasa natamani nikapate changamoto mpya kwenye nchi za watu.Naomba ushauri wenu wakuu wa process za kuvuka ng'ambo ugumu na njia zake ni zipi. PM iko wazi kwa ushauri wakuu
Uarabuni ambako dada zetu huwa wanafanyiwa gang rape na wale mashwetani au uarabuni ipi ?
Mimi ambaye nina aspire kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri unanishauri pia niende kubeba boksi uarabuni ?Ndio hukohuko, ni nchi rahis sana kuingia na kupata kazi ,
Hizo cases zipo kweli ,kwa hiyo kila mtu aende kwa tahadhari na umakini, ila kuna kazi nyingine nyingi za kwenye makampuni hazina hayo manyanyaso kama kazi za majumbani.
Mimi binafsi siwezi kumshahuri mwanadada aende uarabuni kuwa house girl, ni very risk sana kwenye kunyanyaswa .
Ila kuna kazi kibao za kwenye ma warehouse na ma supermarkets hakuna kunyanyaswa wala nini
Mimi ambaye nina aspire kuwa mbunge wa bunge la Jamhuri unanishauri pia niende kubeba boksi uarabuni ?
Hapana mkuuMkuu kwani wewe ndiye uliyeanzisha hii thread?
Sawa basi sio ushahuri unamhusu aliyeanzisha hii mada.Hapana mkuu
Mkuu kwanini usiende Korea Kaskazini😀😀😀Kama kichwa hapo juu kinavojieleza Mimi ni muajiriwa wa shirika kubwa tu la serikali hapa nchini (temporary Employment) miaka 9 sasa naona wazo linalo nijia mafanikio yangu hayatapatikana kwenye nchi yangu ya ahadi sasa natamani nikapate changamoto mpya kwenye nchi za watu.Naomba ushauri wenu wakuu wa process za kuvuka ng'ambo ugumu na njia zake ni zipi. PM iko wazi kwa ushauri wakuu
Hapo anaenda akiwa na skills zipi ?Sawa basi sio ushahuri unamhusu aliyeanzisha hii mada.
Mimi nawajua jamaa kibao ambao wameamua kwenda uarabuni kufanya kazi huko ,kuna wengine wameshahamia ulaya kutokea uarabuni.
Kiufupi muanzisha thread kama ni mwanaume na ana akiba ya fedha kama mil 5 aende uarabuni .
Akitulia atapata kazi na atasetle akijipanga anahamia Europe. Kuna nchi kibao za western Europe kama Romania, Hungary,Turkey, serbia, Portugal ni rahisi kuingia ukitokea uarabuni
Nyingi hazihitaji skills kama za warehouses,kuchunga kondoo,mbuziHapo anaenda akiwa na skills zipi ?
😁Kiduku atamtumia kama target akitest yale makombora yakeMkuu kwanini usiende Korea Kaskazini😀😀😀
Tutahonga tu mkuu tupate passport kwani Kuna Cha bure ? Ata huduma ya bure lazima utoboke location hiiKwa wasichana chini ya miaka ishirini na moja wanahangaika bila mafanikio kupata passport kwa wakubwa kupata passport utazungushwa mpaka utoe rushwa.
Kazi zipo Qatar, Emirati yote,Canada na Ujerumani na hata Japan tatizo passport tuu.