Recent content by Zvi

  1. Zvi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Tusi-gwajimanize chama chetu, Magwajima tuyaache huko nje. Ukicheza ngoma si yako lazima utaharibu

    Gwajima alishajua hawezi pitishwa tena kugombea ubunge, hiyo ni style yake ya kuondoka, walau akumbukwe kwa hilo
  2. Zvi

    JamiiForums Tanzania Wanaopenda kujifunza kusuka amplifier na pre AMP zake nitafute

    Mtoa mada mfanye Lwiva kuwa collaborator kwenye project zako utafanikiwa
  3. Zvi

    JamiiForums Tanzania Nauza Powerbank ya Airtel 5g Router

    Bado ipo?
  4. Zvi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

    pls naomba unicheck pm
  5. Zvi

    JamiiForums Tanzania Msaada line za uwakala Mkuu Tigo, Airtel pamoja M-pesa

    kuna mwenyewe alifanikiwa, nahitaji ya mpesa na tigo
  6. Zvi

    JamiiForums Tanzania Tunauza na kufunga AC unalipa baada ya kufungiwa

    Bei zako ni very competitive. goodluck!
  7. Zvi

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie TV, redio, home theater, pasi, majiko soundbar na vingine vingi kwa bei ya store

    Hisense android 4k 55" sh ngapi?
  8. Zvi

    JamiiForums Tanzania Ni godoro gani zuri na imara kati ya QFL Dodoma na Tanform Arusha?

    Always Tanfoam
  9. Zvi

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Maprofesa wa Bongo

    si kweli, ni wachache waliotoboa kupitia miradi. Wengi maisha yao ni ya kawaida na wengine maisha yao ni magumu zaidi baada ya kustaafu wanahangaika na contracts kwenye private universities. huu ni ukweli niliouona baada ya kufanya nao kazi zaidi ya miaka 10
  10. Zvi

    JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Chalamila amekuwa akiongea hivyo consistently, yuko juu ya sheria?
  11. Zvi

    JamiiForums Tanzania Nani anafanya vetting dhidi ya wateule wa Rais? Chalamila alifukuzwa shule sasahivi ni mkuu wa mkoa

    Kuna school mate akiwa secondary alikula suspensions kadhaa kwa makosa ya nidhamu, ila sasa ni mkuu wa wilaya mojawapo. Sidhani kama vetting zinafanyika ipasavyo, ni connection tu
  12. Zvi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kamera za Usalama zitaondoa Rushwa na ulazima wa kutumia 'Matrafiki' kila sehemu

    Yes kwa makosa ya speed na bima itakuwa ni vuziru kutumia kamera, lakini sidhani kama kamera pekee yake zitaweza fanya inspection ya ubora wa magari, kukagua mizigo na mengineyo, bado watahitajika askari kwaajiri ya ukaguzi wa magari. Labda ukaguzi kama huu pia ufanyike sehemu ambazo zina kamera pia
  13. Zvi

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kwenye msiba wa kaka

    Pole ndugu kwa kuondokewa na kaka, huwa tunawadharau tukiwa kwenye hizi nafasi, lakini tukifa wale tuliowapuuza ndio wanaotujali. Siku moja pasipo kutarajia nikiwa natoka stendi gari ilizima ghafla, nikajaribu kuiwasha laa, wakati huo gari zingine na mabasi yameshaanza kupiga honi maana...
  14. Zvi

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Honda Insight
  15. Zvi

    JamiiForums Tanzania Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Thanks for the compliment, Very excellent consumption. Natumia Honda Insight. So far very realible
Back
Top Bottom