Tunauza na kufunga AC unalipa baada ya kufungiwa

Tunatoa huduma zifuatazo
  • Tunafunga Air conditioner bei zitakua kwenye uzi
  • Tunafanyia services Air conditioner zilizofungwa tayari kwa sh 45,000/=
Kwa walioko dar es salaam unaletewa Air conditioner, unafungiwa ndo unalipa iwe ni
  • Lg
  • Samsung
  • Gree
  • Na nyinginezo zipo
Makadirio ya matumizi ya umeme kwa siku kwa Air conditioner
Non inverter
9btu 8 units
12btu 9 units
18btu 16 units
24btu 19 units

Inverter
9btu 3units
12btu 4units
18btu 7units
24btu 11units
 
Naomba kuuliza swali kwann Ac za super general zimekua adimu kupatikana
Je sababu ni bei yake ni kubwa au sababu ni nn
 
LG INVERTER SPLIT AC

12,000BTU 1,250,000/=
18,000BTU 1,670,000/=
24000BtU 1,870,000/=
 

Attachments

  • C485CCDB-8545-4759-809A-629632C026CE.jpeg
    C485CCDB-8545-4759-809A-629632C026CE.jpeg
    71.8 KB · Views: 9
🔥SPJ AC 🔥.
❄️SPJ INVERTER.
9,000BTU. 780,000/- 12,000BTU. 880,000/-
18,000BTU. 1,070,000/-
24,000BTU. 1,410,000/-

❄️ SPJ NON INVERTER
9,000BTU. Out of stock
12,000BTU. 710,000/-
18,000BTU. 930,000/- 24,000BTU. 1,330,000/-
 

Attachments

  • 4016C351-5262-4FAC-9CC1-5571CBC72167.jpeg
    4016C351-5262-4FAC-9CC1-5571CBC72167.jpeg
    117.1 KB · Views: 2
Tunatoa huduma zifuatazo
  • Tunafunga Air conditioner
  • Tunafanyia services Air conditioner zilizofungwa tayari
Kwa walioko dar es salaam unaletewa Air conditioner, unafungiwa ndo unalipa iwe ni
  • Lg
  • Samsung
  • Gree
  • Na nyinginezo zipo
Call/WhatsApp 0713520180

Bei zilizopo za air conditioner hazijumuishi-ufundi sababu kuna watu wanataka tu kununua tayari wanamafundi wao
Napenda kujua kati ya AC zilizopo kwenye soko, ipi inatumia umeme kidogo kwa 18,000 BTU? Je kwa wastani inaweza kutumia unit ngapi ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom