Recent content by Zurii

  1. Zurii

    JamiiForums Tanzania Rukia Kilemile; CHADEMA wavurunda kwa Aibu London

    Kwanza kabisa nina wasiwasi na huyu so called Rukia huenda akawa mwanaume kajitungia tu jina fake a unafiki wake
  2. Zurii

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

    Brazameni chris chagula katibu mwenezi na gamba alivua na card alirudisha.
  3. Zurii

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

    Chris Lukosi wa Serengeti Freight awa mwenyekiti wa tawi la CHADEMA London
  4. Zurii

    JamiiForums Tanzania Jaqueline Wolper amchangia Sajuki mil 15 za matibabu

    Milion 10
  5. Zurii

    JamiiForums Tanzania Tatizo la COPY&PASTE kwa Ma-Bloggers wa Tanzania!

    kwa upeo wangu na katika kuchunguza hizi blogs nimegundua kwamba habari nyingi huwa wanatumiwa na wahusika na si kucopy na kupaste kama unavyo fikiria nadhani waulize wahusika utambiwa. Utakuta mtu anahabari yake basi anaituma kwa bloggers wote kupiti amailing list yake na ikumbukwe kila blog...
  6. Zurii

    JamiiForums Tanzania Ray acha kujiita the greatest!

    kwa nini umpangie mtu maisha bana mwacheni afanye kile ancho taka hata marehemu alisema wanashindana kimaendeleo. Mi sioni tabu kujiita the greatest let him be abeg. RAY THE GREATEST 'RJ'
  7. Zurii

    JamiiForums Tanzania SHow ya Diamond si mchezo totoz ziling'aaje??

    Aaa Nsia Swai ndani ya Diamond's are foreve naona siku hizi kawa celebrity eeee
  8. Zurii

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    Sina ubishi kwa hilo na ninaweza kusema Kanumba sio The Great bali The Greatest. R.I.P SK
  9. Zurii

    JamiiForums Tanzania Dr. Hildebrand Shayo

    Mie naona wa Mponjoli
  10. Zurii

    JamiiForums Tanzania Waziri ngeleja akata viuno akiomba kura jukwaani mwanza

    Waziri Ngeleja akisakata rhumba kwa kukata kiuno. Mbunge wa Afrika Mashariki, Dk. Amani Walid Kabouru (kushoto) na Katibu wa CCM Mkoa wa Mwanza, Joyce Masunga wakisakata muziki. …Akihutubia wananchi kwenye kampeni hiyo. WAZIRI wa Nishati na Madini, William Ngeleja, mwishoni mwa wiki...
  11. Zurii

    JamiiForums Tanzania Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

    Ni wakati wa mabaliko wacha wafurhaie
  12. Zurii

    JamiiForums Tanzania MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Chadema naona wanapeta
  13. Zurii

    JamiiForums Tanzania Diamond akataa hela ya Wema stejini...

    Hahahaha wema nae akome kujipendekeza alifikiria diamond atashobokea hizo elfu 50 zake? Diamond kampotezea there's no doubt about that. Eti kanuna na kulia attention seeking bitch. Safi sana diamond. Wema endela kuchuna vigogo muahe diamond
  14. Zurii

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu wao??

    Na msimu wa mabifu ya mabloggers wakike pia!!! Kazi ipo
  15. Zurii

    JamiiForums Tanzania Fideline Iranga amekuwaje?

    o my days basi asinge kuwa ana smile maana ndo inaharibu kila kitu. Anyway I feel for her & hope she's doing something about her health
Back
Top Bottom