Recent content by Zungwe

  1. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kusubiri ajira za walimu

    Serikali imesema watatoa post za ajira za uwalimu mwezi wa 7 . Hayo yamesemwa na naibu waziri mwenye dhamana, akijibu swali bungeni.
  2. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Post za kidato cha tano 2015/2016

    Post uwenda zikatoka wiki hii. maana mwaka wa jana walizitoa tarehe 18 juni. cha msingi kufanya maandalizi tu.
  3. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

    mnapatikana wapi, kwa mawasiano yepi?
  4. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    nashukuru kwa ufafanuzi wako mzuri. ila bado nahitaji ufafanuzi zaidi. je ukiwa una pass 3 unaweza kusomea kozi zipi na vyuo gani wanachukua wenye pass 3..? mimi nina C 2 na D 2. C1 ya dini ndio maana nikasema nina pass 3. pls nijuze.
  5. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Chukua Hatua na Computer Yako

    thankx, kwa taarifa yako muhimu sana. 2taifanyikazi. kama unalingine la ziada au zaidi ya haya usisite kutujuza ili nasi tufahamu yale hatuyajui kuhusu TEHAMA.
  6. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Mwalimu umepangiwa Wilaya gani? Kutana na wenzio Hapa

    Kwa wale wote waliopangiwa wilaya kisarawa mkoa wa pwani, unaweza kuwasiliana nami kupitia simu : 0688625653 au kwa email; "mbarakazungwe@gmail.com". ili nikuelekeze namna wilaya ilivyo na mazingira husika. karibu kwetu.
  7. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Jamani mbona katika website ya wizara na tamisemi hakuna post ya ajira mpya za walimu?

    Kama uyaoni TAMISEMI, ninda kwenye wizara ye Elimu utayona.
  8. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Jamani nauliza:

    Nikweli ndugu usemayo.
  9. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu:

    Asante sana ndugu kwa ufafanuzi wako mzuri.
  10. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu:

    Yeyote anaejua kuhusu alama zitakazohitajika kujiunga na masomo ya uwalimu kwa wale waliye maliza form iv mwaka jana 2013. naomba mnijulishe.
  11. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Jamani nauliza:

    Ningependa kuliza kwamba wajumbe wepi waliochukua form kwa ajili ya kuwania makam uwenyekiti wa bunge maluumu la katiba mpya. anaejua anijuze
  12. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Results Slips form iv 2013 Zitatumwa Lini Mashuleni Kutoka Necta?

    bado kidogo mtuwangu. siunajua kilakitu kimebadilika kwa sasa, wakitoa nitakujulisha
  13. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    Yap ni yakweli mwalim. usio na hofu tembelea tovuti ya wiraraa ya Elimu na ya TAMISEMI,ifikapo tareh 15 march utajionea mwenyewe ukweli wa mambo.
  14. Zungwe

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu wapya 2014 zatangazwa

    haya haya ajira hiyo mliyokuwa mnaisubilia kwa hamu. cha msingi ni kuchapa kazi.
Back
Top Bottom