Huduma za translations/kuandikiwa vitabu hapa

Mtumwa baniani

Senior Member
Apr 13, 2013
128
26
Habari gani Wakuu?

Ningependa kuwatangazia kuwa tunatoa huduma ya ufasiri kati ya lugha ya Kiingereza kwenda Kiswahili na kutoka Kiswahili kwenda Kiingereza na kwa gharama nafuu.

Huduma zetu ni nzuri na tunafanya kwa haraka. Huduma zetu kulingana na mahitaji ya mteja zinajumuisha: Ufasiri Proofreading Editing Pia tunafanya typesetting, cover design na document designing kwa wale wenye kuhitaji kuchapisha machapisho yao.

Huduma za nyongeza tunazofanya ni pamoja na kuandaa scripts za vipindi vya Tv au sinema, subtitles za vipindi vya Tv au sinema, Voice over za Program za Tv au radio. Pia Tuna coach watu kutoa hotuba na kuandaa hotuba, Public speaking kwa wasanii na viongozi wa umma.

Programu zetu ni za muda mfupi lakini zilizojitosheleza kwa kugusia kila mada muhimu katika swala la kuzungumza kwenye hadhira. Hadhira inayozungumziwa hapa sio tu mikutano, bali ni pamoja na matamasha au mikusanyiko mingine ambayo mtu maarufu anakuwa anahitajika kuongea.

Utakuta msanii kwa mfano, amealikwa nje ya nchi na yuko kwenye steji anataka kuanza onyesho, anashindwa kutoa hata maneno mawili matatu kwa watazamaji ili kujenga nao urafiki na kumtambua, sisi tunamuelekeza namna anavyopaswa kuzungumza na kipi azungumze katika hadhira mbalimbali kwa kuchagua kauli iwe kwa Kiingereza ama Kiswahili.

Kwa nyongeza ukitaka kuandika kitabu unaleta tu concept yako kwetu na skeleton outline ya Content unayotaka iwemo kwenye kitabu chako kisha unaandaliwa kitabu chako mpaka cover design yake na kukabidhiwa soft copy yake.

Unaweza kuandikiwa vitabu vya Ushauri wa mahusiano kama mapenzi,ndoa na uchumba. Vya afya, uchambuzi wa magonjwa na tiba zake za hospitali au mbadala, Malezi ya watoto, kielimu kwa level ya Nursery mpaka Secondary, Vya saikolojia, Dini, Riwaya fupi, makala, Story za uzoefu wenye mafunzo kimaisha na chochote utakachotaka kuandika kwa gharama nafuu sana na kiwango cha juu kwa Kiingereza au Kiswahili.

Unaweza kukichapa kabisa kwetu kwa gharama nafuu au tukakushauri katika hilo.

Tucheki kwenye email globalcorporatec@gmail.com kwa maelezo zaidi na kutumiwa samples za kazi zetu endapo utahitaji.
 
Mkuu, nahitaji kutafsiriwa movie moja ya kiingereza nipate maandishi yake katika kiswahili. Ina muda wa saa moja na nusu, inaweza kugharimu kiasi gani kwa makadirio?
 
Inawezekana! Unataka iwe katika format gani, Movie Script,subtitles za kiswahili au Hadithi? Tumia email yetu globalcorporatec@gmail.com
 
Mkuu iweke kazi yako vizuri
na kuacha paragraph ili isomeke kwa umakini na unadhifu, si unajua tena
cloths makes a pirate..., ukishamaliza kufanya hayo tafuta hii comment
yangu ili tusichafue uzi

Loud and clear mheshimiwa,ngoja nikupangie hiyo kazi. Nashukuru!
 
Back
Top Bottom