Pasco I can see your pint ni sawa vyovyote vile itakavyo kuwa haki ni haki iwe kwa Zitto au Chadema itakuwa haki lakini najiuliza baada huu mtifuano na Zitto kwa mfano anashinda anapewa vyeo vyote je atakaa ofisini Chadema kama kiongozi na viongozi wenzake au yataanza tena haya yaliyo anza hadi...
Nataka kuuliza kitu kidogo .Zitto ni ndugu yangu , je Zitto umesha wahi kufika kwenye ofisi ya Chama chako kuomba hukumu ya mashitaka yako ukanyimwa ? Kama hili umelifanya in person ukanyimwa basi Chadema wana makosa .
Hii ni Kiingereza ? Hata kama nimesoma zamani .Wapenzi wa Zitto mmesahau tena maana mlikuja na ugaidi Jaji akakataa leo mnarudi tena kwa style hii ? Nyie na Slaa na Mbowe tu muda wote .
Wadau ,muda huu katika ITV kikao cha RCC pamoja na kupiga marufuku ufungaji wa magari hovyo mjini wamesema safisha Jiji ondoa omba omba ili Ombana aone mji safi Ilala pekee walitumia 350mn .Sasa uchafu umezagaa na Ombaomba ka zamani .Leo Umeme juu , gas juu , kodi kibao , CCM wanatumaliza .
Chadema hawezi kuwa mtu kama wewe.Kama hukuweza kuona ujinga wa Zitto kuazia miaka kadhaa na mwenendo wake ndani ya Chama kuweka makundi more than 2 times akina Shonza , mikoani leo kundi la Kitila na hata kuhamishia ofisi facebook basi una akili ndogo sana .Wabunge wanao ongea wana mandate ya...
Zitto ni mtu wa matukio alisha kataa kwamba hajawahi kukutana na Ben lakini pia Kitila anasema Zitto hakujua mipango na akina Shonza nao watasema hawakuwahi hata kumwita Prezidaa.
Kweli Nape nimeamini una akili ndogo maana watu wanakusema mie huwa siwaamini .Zitto na wewe kuna tofauti yeyote ? Zitto kazusha mengi mno ndani ya Chadema na hata nje .Halafu kweli kwenye mambo serious unasema Chadema ni watai wako ? Kivipi ? Kumbe CCM mnalete utani kwenye maisha yetu ? Na wewe...
Miaka kadhaa mtoto wa dada yangu amekuwa akisema hataki tena siasa baada ya kipindi chake cha miaka 10.Watu wakaanza kumwamini akaja akageuka ghafla kwamba aunataka Urais wa Nchi ikawa njiwe akaamua kuutaka uenyekiti wa Chadema .Akwia Tabora akahutubia akasema hawezi kukaa pembeni na kuwaacha...
Kweli ukisha kuwa mjinga na upumbavu unakutawala na uchumia tumbo unakuongoza.Best kwenu ni kumwambia Zitto aanzishe Chama chake cha siasa mwende huko .Sasa kuratibu maandamano unatumia muda na gharama za nani ? Ili iweje ? Mahakama impe Zito ushindi au imnyime Chadema hatakiwi yeye aende tu .Si...
Zitto msomi kuliko wote Tanzania ,mjuzi wa uchumi pekee akifuatiwa na Mwigulu, Zitto mjivuni , mkabila, Zitto asiyekuwa na adabu hadi kununua vyombo vya habari , Zitto mpenda attention kila kona unategemea nini na wakati anadhinfa fb na twitter mshauri wake ni Omari
Na leo wapenzi wake wengi walikuwa wahuni hata from the look pale mahakamani .Na walipangwa kijinga ukiangalia Chadema walikuwa watu wazima wengi na si watoto kama ilivyo kuwa kwa zitto .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.