Ushauri: viongozi wa Chadema wasiitishe Baraza kuu.

Ushauri: viongozi wa Chadema wasiitishe Baraza kuu.

Wewe umeng'ang'ana na katiba wakati viongozi ndio walioanza kuvunja katiba kwa kufanya maamuzi kupitia cc ambayo haikustahili kufanya maamuzi hayo. Ulitaka akadai haki wapi wakati kashanywimwa? Sialiomba wakakataa sasa ulitaka afanyeje? Fikiri kwanza siyo tu uandike.

Kufukuzwa kupo palepale msaliti mkubwa huyo! anadhani baraza kuu linaongozwa kutoka lumumba?
 
Nawashukuru wanachama wote wa CDM ambao wameona karata zoote za huyu kichaa ZZK. Anisamehe kumtwika cheo hicho ila nina haki kumpa cheo hicho kwani mtu yeyote anayeweza kuvua nguo na kutembea uchi bila hofu ni kichaa tu.
ZZK amejivua nguo na kukitukana chama chake. Ameona hao Wafadhili wake CCM kuwa watamlinda. Ameona yaliyo wapata wahaini wenzake Hamad na Kafulila kwa kuwekwa wabunge wa mahakama mpaka leo. Akajua na yeye atapenya tu.
Yoote sawa kabisa lakini Baraza kuu halita itishwa ati kwa ajili ya ZZK. Who iz he by the way? Atakaa chamani tu. Arudi tena mahakamani kuiomba mahakama imrudishie nyadhifa zake CDM.
Viongozi wetu, msisumbuliwe na Zitto. Tusumbuliwe na huu uchaguzi ujao this February. CCM ina kiu kushinda hata robo tu ya hivyo viti ijitape kuwa inapendwa na watu.
Hayo majitu yanajua kuvuruga tu ili yaonekane yanapendwa, lakini, tumeshayajua. Tusonge mbele, tuuangalie uwezo wetu na kupendwa kwetu na Wananchi. Mtoto akiinyea nguo hatuikati bali twaiosha na kesho ndiyo anavikwa. Tugange yajayo.
 
yaani kama baraza kuu watashidwa hayo maamuzi rahisi hivyo basi....CDM itakuwa ni tawi la CCM....kama watashidwa kupiga kura kufanya maamuzi ya kumfukuza zitto chama kibaki salama ....kisa kuhongwa basi sijui kura watalinda vipi 2015.....kama watafanya maamuzi ya CCm basi CDM itakuwa ni tawi la CCM
 
Kitendo cha kuitisha mkutano wa Baraza kuu kwa ajili ya kujadili rufaa ya Zitto kitapelekea kupasuka kwa chama na hili ndilo Lengo na mh zitto Kabwe huyu kijana Ana ufuasi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama kwa hiyo anaweza kukigawa chama mapande mawili na baadaye Kuhama nao, nawaomba viongozi wawe makini waache Jazba vinginevyo inaweza kula kwao,
Ushauri wangu: wamuache aendelee na ubunge wake amalizie mpaka 2015 si mbali atamaliza ataondoka.

Mkigoma, acha unafiki...toka lini wewe ukawa na mapenzi mema na Chadema au kuwa mshauri wa Chadema? Wewe ni mwanachama hai wa CUF na pro-Zitto wa kutupwa. Au umesahau wakati Dr Slaa akiwa Kigoma ni wewe uliyekuwa unapost na kutoa comment za kumkashifu Dr Slaa na Chadema kwa ujumla? Au umeshasahau hapa karibuni Zitto akiwa Kigoma ni wewe uliyekuwa unapost thread tatu kwa siku za kumsifia Zitto?

Sasa kwa taharifa yako janja ya nyani sisi kusha jua...umetoa ushauri huu ili mujipange kwa fitina na hongo kwa baadhi ya wajumbe wa balaza kuu ili wawe upande wa Zitto Msaliti...sasa mkae mkijua hata mufanye nini hamna cha kumuokoa huyu msaliti wenu na baraza kuu litakutana as soon as possible ili wakate kichwa nyoka huyu na kumtosa baharini kama Osama.

By the way bado huu mwanachama wa CUF au huu mwanachama wa TeamZitto msaliti?
 
yaani kama baraza kuu watashidwa hayo maamuzi rahisi hivyo basi....CDM itakuwa ni tawi la CCM....kama watashidwa kupiga kura kufanya maamuzi ya kumfukuza zitto chama kibaki salama ....kisa kuhongwa basi sijui kura watalinda vipi 2015.....kama watafanya maamuzi ya CCm basi CDM itakuwa ni tawi la CCM

Mkuu, acha na huyu mleta mada...huyu ni mwanachama wa CUF na ni pro Zitto wa kutupwa.
Anachokifanya hapa ni kutaka akili yake ndodo ya kunywea kahawa eti iongoze akili kubwa KK ya Chadema wakubaliane na huu uharo wake kwa faida ya Msaliti Zitto...wanataka wajipange kwa kutoa rushwa na fitina kwa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu.

RIP Mkigoma,RIP CUF,RIP Zitto msaliti
 
Naunga hoja kwa 100% maana upumbafu wa zitto uko peupe. Na hapo hapo nitaacha kushabikia siasa.
 
hana lolote kwenye baraza hata ccm wangepeleka pesa kama walivyofanya bagamoyo kwenye uchaguzi wa askofu wa kkkt atashindwa tu tena kwa aibu kubwa
 
Mkuu, acha na huyu mleta mada...huyu ni mwanachama wa CUF na ni pro Zitto wa kutupwa.
Anachokifanya hapa ni kutaka akili yake ndodo ya kunywea kahawa eti iongoze akili kubwa KK ya Chadema wakubaliane na huu uharo wake kwa faida ya Msaliti Zitto...wanataka wajipange kwa kutoa rushwa na fitina kwa baadhi ya wajumbe wa baraza kuu.

RIP Mkigoma,RIP CUF,RIP Zitto msaliti
ni kwei mkuu mimi nashangaa kama mimi mwanachama wa kawaida nini HASIRA na UCHUNGU namna hii je hao baraza kuu itakuaje....Mimi ningekuwa baraza kuu si kumfukuza hata MAKOFI ningemtandika
 
Naunga hoja kwa 100% maana upumbafu wa zitto uko peupe. Na hapo hapo nitaacha kushabikia siasa.
....mimi ningekua baraza kuu sio kumfukuza HATA MAKOFI angekual....MSALITI
 
kitendo cha kuitisha mkutano wa baraza kuu kwa ajili ya kujadili rufaa ya zitto kitapelekea kupasuka kwa chama na hili ndilo lengo na mh zitto kabwe huyu kijana ana ufuasi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama kwa hiyo anaweza kukigawa chama mapande mawili na baadaye kuhama nao, nawaomba viongozi wawe makini waache jazba vinginevyo inaweza kula kwao,
ushauri wangu: Wamuache aendelee na ubunge wake amalizie mpaka 2015 si mbali atamaliza ataondoka.
ni heri chama kife kuliko kuendelea kufuga wasaliti! Hakuna kurudi nyuma kwa gharama yoyote ile! Kama huyo zito anawafuasi wengi ambao ataondoka nao, kwanini haondoki nao sasa mpaka asubiri baraza kuu limfukuze?
 
Usiogope Ndugu,

Chadema sio chama cha Mahakama, ratiba za vikao vya Chadema havipangwi na Mahakama, Zitto atabaki mbunge wa mahakama, uongozi wetu ulishajipanga katika hilo na Zitto sio mbunge wa kwanza wa mahakama

Mahakama sasa inawakilishwa na Hamadi Rashid, David Kafulila na Zitto

Hawa ni wabunge waliotimuliwa na vyama vyao ila mahakama imewadhamini sasa lisikutishe.

Chadema tupo tayari kulipoteza jimbo la Kigoma Kaskazini, lakini sio kuendelea kuwa na mbunge kama Zitto Kabwe.... Aende!

Kwa sasa ameiokoa serikali kuingia gharama za uchaguzi, lakini mwakani 2015, atafute tiketi nyingine Chadema itasimamisha mgombea mwingine Kigoma Kaskazini

Mkono, Pinda na Dewji wajiandae sasa hakuna kupita bila kupingwa, msaliti atakuwa amekwisha kazi

Pipooooz

Umesema vyema
 
hivi hiki chama chetu ni associate member wa FIFA? tafadhali hii kitu ipo ibara ya ngapi
Zito lazima afukuzwe uanachama kwani tayari ni msaliti na istoshe katiba inasema mwanachama akikipeleka chama mahakamani amejivua uanachama
 
do br unasikitisha ,amakwli mpenda roho hula nyama mbichi .bila shaka WEWE NI MANGI....wa akina mboe..,una mahaba na chademaaaa...........
 
Kafulila ni mbunge wa mahakama?
Mkimbizi nini?

Yaani hujui hata hiyo? Unafanya nn humu ww pimbi? Kafulila ni mbunge wa mahakama ndiyo. JF nayo imeingiliwa. Hata mataahila nayo yanatoa comment kama hili lisilojua kuwa Kafulila ni mbunge kupitia tiketi ya mahakama!!!!
 
kitendo cha kuitisha mkutano wa baraza kuu kwa ajili ya kujadili rufaa ya zitto kitapelekea kupasuka kwa chama na hili ndilo lengo na mh zitto kabwe huyu kijana ana ufuasi mkubwa ndani ya chama na nje ya chama kwa hiyo anaweza kukigawa chama mapande mawili na baadaye kuhama nao, nawaomba viongozi wawe makini waache jazba vinginevyo inaweza kula kwao,
ushauri wangu: Wamuache aendelee na ubunge wake amalizie mpaka 2015 si mbali atamaliza ataondoka.

tangu lini wewe ukawa mshauri wa cdm ?
 
Sijawahi ona shetani awahurumie watu wanaoenda motoni,umeanza lini kuihurumia CDM isife gamba wewe!!
 
Kwa kawaida kwenda Mahakamani ni haki ya kiraia. Hakuna mwenye uwezo wa kuzuia haki hiyo. Na kama kuna sheria/katiba yoyote inazuia raia kwenda mahakamani, basi jua kuna tatizo la msingi. Mahakama ina wivu sana kuilinda haki hiyo.
 
Usiogope Ndugu,

Chadema sio chama cha Mahakama, ratiba za vikao vya Chadema havipangwi na Mahakama, Zitto atabaki mbunge wa mahakama, uongozi wetu ulishajipanga katika hilo na Zitto sio mbunge wa kwanza wa mahakama

Mahakama sasa inawakilishwa na Hamadi Rashid, David Kafulila na Zitto

Hawa ni wabunge waliotimuliwa na vyama vyao ila mahakama imewadhamini sasa lisikutishe.

Chadema tupo tayari kulipoteza jimbo la Kigoma Kaskazini, lakini sio kuendelea kuwa na mbunge kama Zitto Kabwe.... Aende!

Kwa sasa ameiokoa serikali kuingia gharama za uchaguzi, lakini mwakani 2015, atafute tiketi nyingine Chadema itasimamisha mgombea mwingine Kigoma Kaskazini

Mkono, Pinda na Dewji wajiandae sasa hakuna kupita bila kupingwa, msaliti atakuwa amekwisha kazi

Pipooooz
moshi majimbo yameisha?
 
Back
Top Bottom