Wapendwa habari zenu,
Naomba nisiwachoshe naomba nimweleze Miss Natafuta kuwa tangu nimeijua JF na baada ya miaka kadhaaa huwa naona huyu dada anatafuta mwanaume wa kuolewa nae. Kwa muda wote huo nimekuwa najiulize kwanini huyu dada ahangaike hivyo.
Leo natamka wazi kwa moyo mkunjufu kwamba...
Baba halali wa mtoto anamjua mama we lea mtoto ataishi akikua ataishi na we we kama baba yake na atakuheshimu kama baba hata kama ikitokea amejua/ kaambiwa kuwa wewe sio baba yake- kama kweli sio mwanao, atakuheshimu we we kama mlezi hiyo ndiyo kazi yetu sisi wanaume
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.