Recent content by Zozotoli

  1. Zozotoli

    Yanga watachukuwa kombe la Afrika msimu wa 2021-2022

    Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022 Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia sitaki watu wa kuanza kutuma maombi yao eti niwafanyie dawa mimi sio mganga au uchawi bali nina amini...
  2. Zozotoli

    Natabiri Yanga kuchukua kombe la Africa

    Najua kuna wanaobisha na kujiuliza Maswali mengi juu ya maneno yangu aya Ila ukweli ni kuwa yanga awatocheza mpira wa kuvutia au nini Ila ukweli ni kwamba watakuwa wanafunga goal moja kila machi Yaani wakikupiga ugenini nyumbani huendi kugomboa wakikupiga nyumbani ugenini ugomboi Na...
  3. Zozotoli

    Natabiri Yanga kuchukua kombe la Africa

    Mwisho wa league ya afrika urudi apa na nita kuombea Mungu uwe mzima na mimi mzima ili uje kufuta sms yako
  4. Zozotoli

    Natabiri Yanga kuchukua kombe la Africa

    Mwaka huu yanga watachukuwa kombe la afrika najua kuna watakao bisha but this is the trueth na ninafikiri wengine watanitukana na kusema ninaota na wengine watajiuliza eti kwani itawezekanaje yanga iyi tunayo ijua ibebe kombe la afrika bro’s amini ninacho wambia and you will see Mimi sio...
  5. Zozotoli

    Yanga msitolewe kwenye njia na mashabiki oyaoya, timu mnayo

    Yanga will bring africa champion cup Huu ndo ukweli Kuna watu watarudi ku cheki this sms mwisho wa mwaka Najua mtabisha and some ones Will say i’m dreaming my bro’s lets me tell you the trueth this here young africa will bring africa cup
  6. Zozotoli

    Mpenzi wangu ana uke mkubwa ila bado nampenda

    Dah ndio maana Na mimi nimeshawai kutana na balaa kama ili zamani mimi nilikuwa nafikiria tatizo ni mimi kumbe yeye sasa sijui ex wangu ataolewa na nani kwa hali ile mwanamke tundu kubwa na kavu ukingiza utafikiri umekutana na ganda la mti wa mpare dah i get some thing here
  7. Zozotoli

    Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi

    Don’t promote corona virus here Wanatengeneza ma ugonjwa yao alafu wana kuja na chanjo zao kutubembeleza ili tununuwe chanjo zao ? Kuna kitu wanacho kitaka awa wapumbavu Ivi Africa kabisa kwanini atujiulizi kipindi Madagascar walitengeneza Dawa ya corona who waka ikataha kuwa sio nzuri Leo...
  8. Zozotoli

    Faida za kujiamini

    Kujiamini raha saana Ni sema asanteni kwa wana jamii wote mliokuwa mkitowa maoni kwenye post zangu kipindi nateswa na mapenzi Ndugu zangu nili kuwa kama zoba fulani ivi nikimpenda mwanamke nili kuwa na mpenda kweli kweli mpaka na jisau Sasa kwa bahati mbaya nilimpenda mdada fulani ambaye...
  9. Zozotoli

    Mashairi ya Godbless Lema alipoitwa kuhojiwa na kamati ya bunge

    Dah kweli Nina amini nabii akubaliki kwao kabisa dah magufuli wanavyo mlilia katika inch zingine but TZ kwenye walipata bahati ya kupata kiongozi yule leo wana he called eti Ali kuwa na faili milembe So case ata mashujaa wengi wa ulimwengu walio kuwa mashujaa katika inch zao walikataliwa...
  10. Zozotoli

    Hospitali ya Bugando yakumbwa na upungufu wa mitungi ya Oksijeni kwa Wagonjwa wa Kupumua

    Ni upumbavu mtupu Ichi ndicho niliwai kusema kwenye post yangu ya nyuma apo watu waka anza kunitukane eti Mimi mjinga But my bro’s this true wanatumia vyombo vya abari kupeleka hofu kwa watu Sijuwi Italy wame kufa watu 3000 kwa siku uongo mtupu akuna kweli Ivi ninyi na akili yenu kabisa you...
  11. Zozotoli

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kila nikiona afrika wanavyo mlilia magufuli ndipo na amini ukweli nabii akubaliki kwao. Many countries in Africa trust magufuli was a king of afrika kuna wa Tanzania wanao mtukana kumuita ni jambazi, katili na majina mengi mabaya mabaya my friend ukitaka kujua samani ya aliye kuwa kiongozi wenu...
  12. Zozotoli

    Hivi ingekuwaje 2015 kama tusingempata Hayati Magufuli kwa nchi ilipokuwa imefikia?

    Kinacho ni shangaza ni pale ambako watu wana sema eti magufuli aliharibu uchumi Wa inch na wakati wake ndipo TZ ili panda kwenye uchumi Wa Kati My friend DRC tungeli pata rais kama magufuli Hakika tungeli panda saana Bali kuna wapumbavu fulani ambao wana taka kuaribu CV ya john pombe magufuli...
  13. Zozotoli

    Dalili Kuu Nne za Wimbi la Tatu la COVID-19

    Ni upuuzi mtupu akuna corona duniani Bali wanawapa watu hofu ili wachukuwe chanjo zao
  14. Zozotoli

    Mpenzi wangu anataka kunikabidhi mtoto wake aliyezaa na mwanaume mwingine

    Leo nime amua kuja uku kuomba ushauri ndugu zangu Kuna mwanamke ambaye nimependana naye na mwanamke uyo ana mtoto. Alipigwa mimba na msela fulani alafu msela aka kimbia zake. Demu akachukua mimba na kuibeba miezi 9 na kuzaa mpaka sasa mtoto ana miaka 3 msela ajui mtoto wake wala ajawahi mtumia...
Back
Top Bottom