Recent content by zorilla

  1. Z

    Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni

    anapendelea kutembea? Week end ijayo nendeni out,tembeleeni zoo,sehemu za ukumbusho,ufukweni etc,punguza userious mu have fun halafu muulize tatizo lake,mnapendana lakini mnategeana
  2. Z

    CHADEMA yaisambaratisha CCM Ngorongoro

    800 are too much you magambas, hamjui kila mmoja atakwenda ku convice wengine,hamtauweza moto huu
  3. Z

    Vigogo tisa wa CCM kuhamia CHADEMA baada ya Mei Mosi

    Keep up a good work Lema,as a mwanamapinduzi unahitaji kuwa na ideas,q'turns na ni hope yangu malengo ya Tanzania mpya yatafika,CDM pamoja!
  4. Z

    Natafuta mchumba.

    Focus kwenye masomo inshallah Mungu atakujalia kazi, save $ zakutosha then nunua gari,jenga nyumba nzuri-hapo ukikosa ni dhahiri kuna mkono wa MUTU
  5. Z

    Ajali mbaya ya Bus ya Costline hapo Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara!

    Hata zinazokwenda Musoma zinaitwa hivyo,huenda mmiliki ndiyo ka wa order hivyo madereva,kungekuwa na uwezekano wa ku avoid kusafiri na hizo bus-ndiyo ajali haina kinga ila kunazingine zinasababishwa na u care less wa madereva
  6. Z

    Mke wa mtu ananipenda nifanye nn na ananitishia maisha

    Umejenga mazoea mwenyewe-chagua kusuka au kunyoa
Back
Top Bottom