Recent content by zonda

  1. Z

    Rafah: Wanajeshi 8 wa Israel wauawa katika tukio baya zaidi tokea January!

    Hapo zidisha Mara tatu hiyo idadi na usigawe kwa wastani,maana IDF ni waongo
  2. Z

    Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

    Vigezo ndiyo matarajio yenyewe,jifunze kuitazama sarafu pande zote,vigezo maana yake ni sifa ya kubeba majukumu tarajiwa,hence matarajio
  3. Z

    Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

    Unemteua mtu ukitarajia ufanisi kiasi Fulani,dalili ya huo ufanisi hakuna,umuache tu!?..tengua,teua mwingine,huu siyo wakati wa Nyerere,mtu anakalia kiti toka uko la kwanza mpaka la Saba,akiboronga anahamishwa
  4. Z

    Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

    Watanunua kwa pesa ya hayo mataifa,wakati umefuka kutafuta riyali ya Saudi kununua mafuta badala ya kuhaha na dola
  5. Z

    Uteuzi Juni 15, 2024: Mobhare Matinyi, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali apangiwa majukumu mengine, nafasi yake yachukuliwa na Thobias Makoba

    Kazi gani!?..viraka gani!?..kazi ya mamlaka ya uteuzi ni kuteua,kufuatilia utendaji,kutengua ikiwa mteule hakufikia matarajio
  6. Z

    Hofu imetanda, Marekani imedeploy ndege wanajeshi Miami Beach

    Umetengeneza hata tooth pick,au unasubiri wengine wafanye!?
  7. Z

    Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

    Huko Israel kaskazini wanakopakana na Lebanon,raia wote wamehama,Wana hamu kweli warudi Ila wapi, hizbullah inapiga kambi za jeshi na kuchoma misitu mpaka makazi,wanabaki na kazi ya kuzima,huko mpaka rada imepigwa,ving'ora havilii unasikia chuma kimetua tu
  8. Z

    Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

    Sasa walivyo pua na mdomo utawapigaje kwa nyuklia!?
  9. Z

    Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

    Unafikiri mbs kaachana tu na Dola bila kuoneshwa hesabu na Putin na xi jinping?..yule nguruwe wa magharibi siku zake zinaheaabika na uchumi wake wa kutegemea kunyonya wengine
  10. Z

    Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

    Nikienda kununua sabufa china watakataa pesa yao?..Korea nao watakataa nikitaka Samsung kwa pesa yao,zamani siyo leo
  11. Z

    Saudia Arabia yaachana na Petrodollar rasmi

    Putin kishafanya trip Sana pale,na wavimba macho pia
  12. Z

    Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

    Hizbullah wameongezeka Sana kiuwezo,yaani TelAviv itachakaa
  13. Z

    Israel achoma Hezbollah

    Hivyo. Ndivyo Israel iwavyo bila silaha za marekani
  14. Z

    Picha za kuogofya: Kaskazini mwa Israel

    2006 hakusogea hata inchi moja mro litani,Hana hamu
  15. Z

    Hivi kuna aliemwelewa Mangungu kwenye interview yake leo pale Sports Extra ya Clouds FM?

    Chura wa mo,mangungu ni mwenyekiti halali wa Simba
Back
Top Bottom