Recent content by Zolbabely komba

  1. Z

    Tatizo la mashine za kutotolesha

    KWA MAHITAJI YA TEMPERATURE CONTROLLER WASILIANA NA NAMI KWA NO 0621215335 Nilihangaika saana mwisho wa siku nikapata so na wewe ukihitaji nitumie sms kwa nambahiyo
  2. Z

    Tunawashukuru nyote kwa mnavyoisaidia China kupambana na changamoto hii ya Corona Virus

    Mungu ni mwaminifu hakika atatuokoa maana kama isingepatikana outbreck basi ingekuwa Dunia yote watu tunakufa
  3. Z

    INAUZWA Nunua mashine za kutotolesha vifaranga zenye ubora kwa bei poa

    hapa mkuu nimeelewa kilicho baki ni wapi naweza kupata mayai ya kuku aina ya koloila na beizake zipoje kwa tray pia nitomba mawasiliano ;
  4. Z

    Hivi ndivyo wafugaji wengi wa kuku wanavyotapeliwa kwa kuuziwa vifaranga vya uzao wa pili au tatu

    ok kuna hoja Mh 1. kuna wakala anae sambaza vifaranga kutoka compun ya Silverlands wa saso miongoni mwao nimeona wamelemaa katika 100 unaweza kuona 20 hawakui kama maelezo uliyo eleza na wakala anasema nikawaida. 2. hayo makampuni kama kweli yana hitaji kulinda soko kwanin hawaja fanya mpango...
  5. Z

    Kwa wafugaji wa kuku wa mayai

    wazo zuri saana ndugu
  6. Z

    Kwa wafugaji wa kuku wa mayai

    Tsh 500 kwa mayai matatu inamaana yai moja ni Tsh 166.7
  7. Z

    Gharama za miamala ya tiGO PESA, Vodacom M - PESA na Airtel Money

    wadau ninahitaji tili 4 tigo,voda, halo na airtel kwa aliye nazo anicheki inbox 0656580430
  8. Z

    Tatizo la mashine za kutotolesha

    katika hili mr inakubidi mkubaliane na anae kuuzia mashine kwa mfano kama ana kwambia mashine anaiuza kwa 800,000 bac una mkabidhi nusu halafu ifanye kazi kwa wiki 3 mkipata vifaranga basi unamalizia ni ushauri lakini
  9. Z

    Tatizo la mashine za kutotolesha

    inategemea na ukubwa wa mashine unayo taka kwani idadi ya mayai hulingana na bei ya mashine
  10. Z

    Mayai kutototolewa kwa kiwango mikubwa. Tatizo laweza kuwa ni Mayai au Incubator?

    REFER TO... inaweza kuwa mayai au incubetor kwa upande wa mayai nikama ifuatavyo 1; yai lako unatakiwa utunze kwa muda usio zidi siku nane tangu limetagwa na kuku. 2; joto la mazingira ya kawaida inatakiwa lisizidi 35c kwani ni moja ya changamoto inayo pelekea kifaranga kufa ndani ya yai...
  11. Z

    Tatizo la mashine za kutotolesha

    mheshmiwa nami ninashida ya hiyo sensor maana mayai yanaiva saana mkuu naomba mawasiliano yako plz
  12. Z

    Kazi ya upishi

    Kweli mkuu Kwa wapishi watatu huo mshara unatosha kabisa kama asipo patikana mtu nijulishe hata kesho Kwa 0621215335
  13. Z

    Soko la Hisa la Dar es Salaam na orodha ya makampuni yaliyosajiliwa

    Nahitaji kununua hisa katika kpuni yeyote inayofanya vizur msaada tafadhali
Back
Top Bottom