Recent content by zipumbovu

  1. Z

    Mke wangu ananipa mashaka

    Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu lakini alikataa na kusema kwamba anataka nimfungulie biashara yake mwenyewe na sio ya familia yaani...
  2. Z

    Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  3. Z

    Nahitaji gari ya mkononi

    Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
  4. Z

    Serikali haimuoni Chief Godlove ?

    Wapo vijana maskini wa akili ambao wataona Mimi Nina wivu ama chuki dhidi ya huyu jamaa anae jiita Chief Godlove. Huyu jamaa kimsingi ni tapeli ambae amekuwa akiwatapeli maskini pesa zao. Mwanzo alikuwa anajitukuza kwa kusema yeye ni freemasoni na hiyo ndio njia iliyo wavuta watu wengi wenye...
  5. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Sikumlazimisha kumuoa, alikubali yeye mwenyewe
  6. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  7. Z

    LGE2024 Nimevunjika moyo na uchaguzi huu wa leo

    Leo majira ya saa 5 asubuhi nimeenda kupiga kura (uchaguzi wa wenyekiti) Mimi sio mwanasiasa na sijui hata majina ya wanao gombea, lakini nilijipanga kuenda kuwachagua wagombea wa upinzani pekee. Nilipofika nimekutana na mambo haya. Nilianza kwa kutafuta jina langu kwenye makaratasi yaliyo...
  8. Z

    Mke azuia mazishi ya mume wake kufanyika.

    Niliona taarifa kwa Millard ayo ikisena mazishi ya Bilionea wa madini (Arusha) yamezuiwa na mke kwasababu mke alidai hakushirikishwa kwenye taratibu za mazishi, mke akaamua kwenda Mahakamani ili kuzuia mazishi yasifanyike ili apewe kibali Cha yeye kusimamia mazishi hayo. Leo taarifa inasema...
  9. Z

    Ushauri kwa Rais Samia zile milioni 5 anazotoa kwa timu (goli la mama)

    Leo naona nimshauri jambo hili Raisi wetu Samia, amekuwa akifanya mambo mengi ambayo kwa utashi wake pengine Yuko sahihi lakini Mimi naona kama haijakaa sawa. Ni kuhusu Goli la mama kwenye michezo, pesa ambazo amekuwa akizitoa kwaajili ya goli la mama kama wanavyo tamka kwakweli ni pesa nyingi...
  10. Z

    Kuanzia leo nimeacha kuchepuka

    Habari zenu wakuu. Leo nimetafakari sana juu ya maisha yangu na michepuko. Nimekuwa na tabia ya kuchepuka kwa muda mrefu sana na hatimaye nimefika tamati ya huu ujinga Nimegundua hakuna faida yoyote ninayo ipata zaidi ya kupata hasara ya kuhusumia jitu lisilo na faida yoyote kwangu Pia...
  11. Z

    SI KWELI Mwimbaji wa Nyimbo za Injili, Bonny Mwaitege afariki dunia katika ajali ya barabarani

    Kumekuwa na tabia chafu ya watu kuzushiwa kuwa wamefariki ingawa wapo hai. Leo mwimbaji wa injili Bon mwaitege amezushiwa kuwa amefariki, kibaya zaidi waliozusha taarifa hizo ni media ambayo ipo kwenye game kwa muda mrefu (Rick Media) Binafsi naona wanatakiwa washugulikiwe na rungu la serikali...
  12. Z

    PreGE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Najua wewe ni wakijani, Tafadhari zingatia NB
  13. Z

    PreGE2025 Nguvu ya Upinzani Tanzania ni kubwa sana

    Habari zenu wakuu Mimi Niko mbali sana na mambo ya siasa ila mara Moja Moja huwa naingia mtandaoni kujionea mambo yanayo endelea. Leo nimeona namna ambavyo Baadhi ya wanachama wa CHADEMA walivyo changisha pesa kwaajili ya kumtoa jela kijana aliye choma picha ya Mama Binafsi nimejikuta...
  14. Z

    Gharama za usafiri Air Tanzania zinatisha

    Nilikuwa nakata ticket Leo, safari ni tar 29 mwezi huu
Back
Top Bottom