Recent content by zipeda

  1. Z

    Vijana wa Lowassa (4u movement) wasambaa mikoani wakifanya kampeni

    Mtoa mada naomba uelewe kuwa 4 u movement sio vijana wa Lowassa na hawajihusishi na chama chochote cha siasa.
  2. Z

    Mzumbe University Selection 2014

    1 MZUMBE UNIVERSITY (CHUO KIKUU MZUMBE) E-mail: mu@mzumbe.ac.tz P.O.BOX 1 Tel: +255 (0) 23 2604380/1/3/4 MZUMBE Fax: +255 (0) 23 2604382 MOROGORO, TANZANIA Cell: + (255)0782618717 Date: …………………. To: ...
  3. Z

    Project title: Recognition and registration of charity foundation orphanage (cfo) mainly to support

    PROJECT TITLE: RECOGNITION AND REGISTRATION OF CHARITY FOUNDATION ORPHANAGE (CFO) MAINLY TO SUPPORT 100 VULNERABLE ORPHANS EDUCATIONALLY. CONTACTS:Box 8, Mzumbe, Tanzania Email: infocharityfoundation@gmail.com phone no: +255758334040. BANK NAME: CRDB BANK, SWIFT CODE: corutztz, ACCOUNT NAME...
  4. Z

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    NI NANI KAMA LOWASSA 1. Kalamu ninakushika, ili nipate andika, Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika, Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika, Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea. 2. Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka, Ofisi kaiachia, nchi nzima...
  5. Z

  6. Z

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    Angalizo: Shairi hili likopiwa na kupesti na mwanzilishi wa thread hii lakini naomba kuweka sawa kwa lengo zuri tu la kujenga ya kwamba mtunzi wa shairi hili ni mimi zipeda (kwa jina la facebook) (mawasiliano ni 0758 33 40 40) na ikumbukwe kuwa shairi hili kwa mara ya kwanza nililipost jana...
  7. Z

    Ukweli Kuhusu Edward Lowassa na Urais 2015

    NI NANI KAMA LOWASSA 1. Kalamu ninakushika, ili nipate andika, Habari zipate fika, kwa watu wa kila rika, Jambo moja mi nataka, ya moyoni kuanika, Ni nani kama lowassa, kwa mema lotutendea. 2. Sifa alijizolea, utumishi ‘lotukuka, Ofisi kaiachia, nchi nzima...
  8. Z

    Biashara ya mashamba

    mbona hilo la shamba hujasema lina ukubwa kiasi gani? ok, nicheki hewani tuzungumze 0758334040 au 0712775477 au david.peter40@gmail.com
  9. Z

    Ukopeshaji wa mikopo

    Greetings to all great thinkers!!! Nahitaji kuanzisha kitu kama kampuni au shirika fulani hivi kwa ajili ya ukopeshaji wa mikopo kwa wanajamii, naomba yeyote anayejua taratibu zinazotakiwa kufuatwa na kuzingatiwa anijuze kwa comment au kunipm au kwa namba zifuatazo: 0712 77 54 77 au 0758 33...
  10. Z

    Big deal:jinsi/namna ya kupata faida kubwa na ya haraka

    NYONGEZA YA MAELEZO YA ZIADA KWA WOTE WALIOREPLY KABLA NA KWA FAIDA YA WATAKAOREPLY BAADAE:high5: Thank you very much Mr. Njaa for good comment for addition information request: Siku zote napenda sana kukosolewa kwa lengo la kujenga na si vinginevyo! :smile-big: Pia nakushukuru Br. Deus F...
  11. Z

    Jinsi au namna ya kuongeza kipato

    naweza kumkopesha pesa hiyo then aizalishe zaidi na ziada ya nitakayo (2m) itakuwa yake au aitumie ajuavyo ili mradi tu anirejeshee mkopo huo ikiwa pamoja na riba hiyo tajwa hapo juu kwa mda wa miezi 12. Kumbuka vigezo na masharti kuzingatiwa. Kwa mawasiliano zaidi nipm au nitafute kwa...
  12. Z

    Big deal:jinsi/namna ya kupata faida kubwa na ya haraka

    :flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig...
  13. Z

    Jinsi au namna ya kuongeza kipato

    Hello Great Thinkers! Hodi tena ndani ya mjengo wa watu wenye fikra pevu na mawazo thabiti ya kujenga hasa katika kitengo hiki cha kukuza uchumi, yaani jukwaa la biashara-business forum. Nategemea kupata Tshs. 6,000,000/= hivi karibuni na ninataka kutengeneza faida isiyopungua Tshs.2,000,000/=...
  14. Z

    Usajili Kampuni

    kwa maelezo zaidi nipm au nicheki kwa david.peter40@gmail.com au 0758 33 40 40 au 0712 77 54 77
Back
Top Bottom