Recent content by Zion Daughter

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Nipo nasikiliza zaidi kuliko kuongea.Kila kitu huwa kinaanzia rohoni.Mwanadamu mwenyewe ni mwili,roho na nafsi.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda vitani kujitolea kuisadia Ukraine 🇺🇦, je nifuate utaratibu gani?

    Wewe waombee tu. Uwe Askari wa maombi
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Wanandoa hii hali imewahikukukuta?

    Mhh hapana.Hizo sifa zitakuja kuwa cost.Ulaji wa kupitiliza nao sio afya ni magonjwa
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom naomba msaada jinsi ya kuongea na mhudumu wenu kwa njia ya simu ukipiga 100. Mbona maongezi ni mengi na hayadirect kuongea na mhudumu kama unahitaji? Cha pili nahitaji maelekezo ya kutumia Mpesa master card.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO .Nilitoa lalamiko langu hapa miezi miwili imepita.Tatizo langu limetatuliwa nusu na bado kukamilika.Nini tatizo.?Mbona muda wa kutatua unakuwa mrefu sana?Details zote niliwatumia PM.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Siwezi kuweka details zote public.Naomba namba ya simu au email ya kukutumia hizo details.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naomba mnisaidie kuwafatilia hawa Tanesco Mbagala.Tumelipia nguzo toka March lakini mpaka leo ni kalenda za kuwekewa umeme.Mwezi wa tisa wameleta nguzo na wamezibwaga chini.baada ya mwezi wamekuja kuzisimamisha lakini mpaka sasa hawataki kuunganisha umeme.Tatizo hasa ni nini?Mbona mnafanya kazi...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Nakupenda lakini umechelewa

    Nipo.Miss you more
  9. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Legends of ALL Time

    Miss you sana.Hadi nasahau jinsi ya Ku quote
  10. Z

    JamiiForums Tanzania You're making a very big mistake to allow your wife to work..

    I agree 100%.Katika mahusiano ,mwanaume asikutoe katika malengo yako na ndoto zako sababu kesho yako au ya huyo mwanaume huijui anaijua ni Mungu tu
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mauongo ya wanawake yanayowakera wanaume

    Kuuliza uliza sana history sometimes sio fresh.Kama mnapendana ukishajua wapenzi wake wa zamani then what?Na hapo kwenye pesa,mwanaume usiogope ku take care ...Shikamoo Mtambuzi
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Am I a loner,selfish?

    Ni kawaida tu .Watu tumeumbwa tofauti.Labda kama unajisikia sad
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Wakati wa mahusiano kasema ana mtoto1, baada ya kuishi pamoja kumbe ana 3

    Asamehe maisha yasonge.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Thanks lara 1 .Good ending nice story
Back
Top Bottom