Recent content by Zingzingzing

  1. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu hongera, Endelea tu maisha hatufanani, kuna watu wameajiriwa ila wamefanikiwa kuliko wewe, shukuru Mungu tu kwa kila jambo haina haja ya kukashifu walioajiriwa.
  2. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kipindi unafanya kazi ulikuwa haujitegemei mkuu?? Ulikua kwa wazazi au
  3. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Muongozo wa ufugaji wa nguruwe.

    Mkuu hongera,shida kuu ya hili la ufugaji wa nguruwe kwa sasa ni ile homa ya nguruwe ambayo kwa kipindi cha mvua huenea kwa kasi sana.
  4. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuondoa mabaka ya usoni yaliyosababishwa na chunusi?

    Ulifanikiwa kuondoa madoa, ilitumia nini?
  5. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Good idea, ila kwa 10M utajenga nyumba ya aina gani wewe?
  6. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Nimeamini Rasmi
  7. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ambao basic ni shngap
  8. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Wewe ushafanys hvyo,?
  9. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Kaka niiliangalia makato vibaya, nikajua tayar
  10. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ingia ESS Then mikopo, utaona kama unadaiwa mkopo wowote iwe benk au HESLB utaona umepunguzwa ,hapo ujue mshahra upo njiani masaa machache yajayo.
  11. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Mkuu umejuaje wakati makato bado?
  12. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ndio Bado.
  13. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Kwamba Kijiji Cha Katoro Kitaipita Manispaa ya Geita na kuwa Mji Mkubwa kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga?

    Barabara huku ni mbovu sana katoro,Lami ni mitaa michache sana,
  14. Zingzingzing

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Makato bado
Back
Top Bottom