Nimesoma maneno ya waziri mkuu sehemu nyingi anazopita na kuchagiza kuwa mwanasiasa atakaye thubutu kuvunja amani hatavumiliwa hata kidogo. Wananchi kwa hiari yetu, kwa upendo wetu na kwa ajili ya kuilinda Tanzania, tuliamua kuwa na katiba yetu, ambayo ndiyo dira yetu katika maisha yetu ya hapa...