Mojawapo ni hili
Kuiabudu sanamu na kuiomba wakati haisikii, haioni, haipumui, haitembei. Mnazitengeneza wenyewe halafu mnaziabudu. Eti hata wasomi, maprofesa pamoja na elimu zao, hata wengine ni maraisi, hawaoni kuwa siyo sawa kumfananisha Mungu aliye mkuu sana kumfananisha na sanamu...