Zilpah
Member
- Oct 12, 2016
- 95
- 57
Hata kabla Askofu hajaenda ikulu tumekuwa tukimwombea. Inaonyesha hujapenda jinsi alivyoenda ikulu.Aliposema anakula bata ikulu huku watu wakitekwa na kuuawa ulimuombea pia ?
Hata kabla Askofu hajaenda ikulu tumekuwa tukimwombea. Inaonyesha hujapenda jinsi alivyoenda ikulu.Aliposema anakula bata ikulu huku watu wakitekwa na kuuawa ulimuombea pia ?
Tunakupa mambo ya jikoni sasa wewe subiri uone atakavyodhalilishwa , hakuna siriHata kabla Askofu hajaenda ikulu tumekuwa tukimwombea. Inaonyesha hujapenda jinsi alivyoenda ikulu.
Hata kabla Askofu hajaenda ikulu tumekuwa tukimwombea. Inaonyesha hujapenda jinsi alivyoenda ikulu.
Narudia tena kusema kwamba kama unaongelea Askofu Zakary Kakobe kukutwa na anguko kama hilo(kuzini) mtasubiri sana. Si kwamba yeye ni malaika lakini kwa maombi tunayomwombea usiku na mchana haitokaa itokee. Nakuhakikishia.Tunakupa mambo ya jikoni sasa wewe subiri uone atakavyodhalilishwa , hakuna siri
Ndiyo, najiombea kadiri ninavyopata neema.Umekumbuka kujiombea?
Ulimuombea alipozuia umeme na kuapa kuwa hautawaka, na ukapita na kuwaka pia. Acha kuwatumainia bindamu, mtumainie MunguNinakuhakikishia kwa Zachary Kakobe utasubiri sana tunamuombea Baba yetu huyu wa kiroho usiku na mchana.
Hivyo kazi yenu kuwaombea wasaliti na Wanafiki??Hata kabla Askofu hajaenda ikulu tumekuwa tukimwombea. Inaonyesha hujapenda jinsi alivyoenda ikulu.
Kazi yetu ni kuwaombea watumishi wa Mungu kwamba awalinde na yule mwovu asiwaweze, maana shetani hapendi kuona kazi ya Mungu ikiendelea. Kimsingi kila muumini anapaswa kumwombea Mchungaji wake anayemchunga kiroho, wengine wanaangushwa na dhambi kama hizo za uzinzi kwasababu waumini hawasimami katika zamu zao kuwaombea kwa uchungu na bidii.Hivyo kazi yenu kuwaombea wasaliti na Wanafiki??
Kunatofauti kubwa kati ya kumwombea na kumtumaini mtu. Sisi tunamwombea ili Mungu azidi kumlinda. Mungu ndiye tunaye mtumaini peke yake kwakuwa tunajua anayemtumaini mwanadamu amelaaniwa.Ulimuombea alipozuia umeme na kuapa kuwa hautawaka, na ukapita na kuwaka pia. Acha kuwatumainia bindamu, mtumainie Mungu
Kwi! Kwi! Kwi!Hivyo kazi yenu kuwaombea wasaliti na Wanafiki??
Shukrani sana .niliwaza kama hiki!Mungu huchukia uovu
Mtoa post nimekukubali
Majebere karibu tena JF , naona ccm mpya imewatimua Lumumba mnakosa hata hela za bando .Umalaya wa huyu Mchungaji hauhusiani na siasa. Mtakuja na kila njia ya kumtetea lakini ukweli uko wazi kabisa.