Recent content by Zillion

  1. Zillion

    JamiiForums Tanzania Kwa maana halisi, comment si maneno yanayowekwa chini ya post. Kisaikolojia Comment ni kipimo cha ustaarabu wa akili ya anaye comment

    Hili andiko ni la Wachokonozi Ulipaswa umtambue mwandishi na sio kuliweka kama andiko lako.
  2. Zillion

    JamiiForums Tanzania Barua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwenda FIFA

    Kisheria, mtu au taasisi yoyote iliyoathiriwa na jambo fulani wana haki ya kushtaki na kulalamika. CHADEMA ni mwathirika wa jambo walilofanya Yanga wana haki ya kulalamika kwa mamlaka husika. Hii sio kuingilia mpira ni kutafuta haki na kusimamia sheria zilizowekwa. Kama CHADEMA wangetoa...
  3. Zillion

    JamiiForums Tanzania Nataka nikope benki niwekeze UTT

    Chukua mkopo ufanye biashara Hakuna pesa za bure.
  4. Zillion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Napenda Uhuru, kufurahi, kucheka na napenda umbea mno

    No reform, No Election.
  5. Zillion

    JamiiForums Tanzania Ungetamani Rais afanye nini?

    Akapumzike kizimkazi, hatumtaki.
  6. Zillion

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama cha kumnyonya mwananchi

    Mbona wapo, wanavaa kijani sikuizi
  7. Zillion

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    Weka uchawa pembeni Jibu kwa akili sio msukumo wa chama cha kijani.
  8. Zillion

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alionya dhidi ya kutumia majukwaa ya dini kueneza ajenda za Kisiasa. Huyu Nabii hakusikia kauli ya Mkuu wa Nchi?

    Kwanini Hao viongozi wakichaguliwa kwenye nyadhfa za kisiasa wanaapa kwa kutumia Biblia na Quran Wao hawachanganyi siasa na dini? Kwanini Bungeni kuna wachungaji na masheikh hao hawachanganyi dini na siasa? Kwanini kwenye mikutano yao mikubwa wanawaita viongozi wa dini kuwaombea hapo...
  9. Zillion

    JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    Kati ya wazungu na Waarabu waliowafanya watumwa na kuwatoboa miguu kwa minyororo, Kuwaua na kuwafanya watumwa na Leo mmewapa Bandari, mbuga za wanyama, viwanja vya ndege kwa mikono yenu. Nani aliwatesa zaidi watu weusi?!
  10. Zillion

    JamiiForums Tanzania Niwaombe watu wa dini wakae mbali na siasa za Afrika

    NO REFORM, NO ELECTION
  11. Zillion

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Mkuu, Kwanza nikupongeze kwa kuuliza swali sahihi Kwakuwa tayari unajua unachokitaka. Wengi wanaokuja humu huwa wanauliza wafanye biashara gani ( Swali gumu sana) Kwanza kama uko mkoani nakushauri upange safari ufike Dar (kariakoo) Ni vyema ukafanya utafiti ukiwa sokoni. Mikoa ya...
  12. Zillion

    JamiiForums Tanzania Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

    Mimi niko kinyume na wewe Ninaamini jinsi mtu alivyo anavutia watu wa aina yake kuja kwake na kushirikiana naye. Ndio maana mtu anayekunywa pombe hapendi kukaa na anayekunywa soda, mtu anayependa majungu na ujinga huamini kila anyemzunguka yuko hivyo. Hata mtu akicheka huhisi anachekwa yeye...
  13. Zillion

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Sa itakuwaje! Imani bila matendo..imekufa Ndoa bila matendo....
Back
Top Bottom