Recent content by zig_charlzy

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Ujasiri huu angeupeleka kwenye maendeleo kijana huyu

    Kuingia uwanjani kwa mashabiki na kumfuata mchezaji mkubwa ni kawaida sana duniani kote .. Ndio maana unaona Rooney hakushituka .... Sent from my Cynus_F9_4G using JamiiForums mobile app
  2. Z

    JamiiForums Tanzania ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Kwani tulikua hatuhakikishi kinachotoka kupitia ile body ya TMAA sijui inaitwaje ..ile ilivunjwa Siku ile ya live kutoka ikulu Sent from my Cynus_F9_4G using JamiiForums mobile app
  3. Z

    JamiiForums Tanzania ACACIA yasema italipa mirabaha iliyowekwa katika sheria mpya ya madini

    Jaman hawa accacia si hawajasajiliwa na hawana vibali vya kufanya kazi nchini!?? Wameanza pata kibali lini!? Sent from my Cynus_F9_4G using JamiiForums mobile app
  4. Z

    JamiiForums Tanzania RED MERCURY NEEDED

    Una bei gani kwa gram
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Count me in.... Naanza kusoma vitabu kwanza
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tusemezane: Mgodi wa TULAWAKA chini ya STAMICO una hali gani?

    BIASHARA ya natural resources(madini&Mafuta) ni Miongoni Mwa BIASHARA zinazohitaji mtaji mkumbwa(sijasema hatuwezi kuzifanya) .Kwakawaida zinaendeshwa na kampuni kubwa kubwa aka big fish. Tukumbuke katika eneo LA mgodi kuna sehemu za high grade na low grade. Na kila kampuny INA strategy zake...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Atakae hitajika na kuweza kuja atakuja...tunawachezaji zaid ya 28 , tunatimu ya vijana,, hatuna wasiwasi
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mbona ameshajibu hili!??? herrera ni mzuri at the middle ambapo kwa sasa hakuna shida hapo...anahitaji mtu anayeweza kusimama as sec strike akimsaidia wyne.... mtu ambae anaweza kuswitch pembeme coz mempy hua anatokea pembeni kuingia ndani...je nani mwingine anaweza fit ka sio adinani!!??
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mchezaji gani ameshindikana kufika!??? pedro ni mzuri lakin hakutakiwa united...united inahtaji strika mkali sa pedro unamuweka ktk kundi hilo!??? uwezo wa kupush team mbele wa pedro haufikii hata wa Young. Mtu ameshndwa kucheza hspain ataweza epl!?? achen ushabiki...na mashabik wa united tusiwe...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba na Dr. Slaa, Nini kimejificha nyuma ya hiyo misimamo yenu?

    Nashindwa kutomuamin prof....nashindwa kuto tafakar mara mbili mawazo ya dr..hapa kunakitu………kwa mbaali namkumbuka ZITTO …… kwa mbaali napata mashaka juu ya mbowe
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wew ndo roooo***ooboo kweli...tuache na united yetu...ivi.kwanin ww povu linakutoka!??
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hizi gemu za africa mbona sizielewi elewi!???
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kapime akil yako kabla hujaanza tembea uch**
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu hapo kwenye kubadili namba nielekeze vizur maana siioni hiyo option ya my personal data
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Jamanii eenh hivi rojo permit yake bado tu!!!!!?????? I cant wait any more
Back
Top Bottom