Recent content by ziegy

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

    Msukuma alishawahi kutawala hawana bahati
  2. Z

    JamiiForums Tanzania CCM itaendelea kutawala zaidi ya miaka mia ijayo

    Hii kitu ni mbaya sana
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe amepitwa na wakati, lakini ndiye Mwanasiasa 'Smart' pengine kuliko wote hapa Nchini

    Sasa huko kwenu hakuna juu ya 40 mpaka sasa wanahudumu kwenye siasa?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi Mbowe na Lissu kutufundisha Katiba Mpya inavyopaswa kuwa au Wananchi ndio Waseme Wanataka iweje?

    Hawatufundishi katiba inavyopswa kuwa bali wanatukumbusha tulioyataka wakati wa warioba Katiba ya wananchi tayari ipo wanachofanya ni kutukumbusha tu ili isibadilishwe
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

    Na wewe unazijua sheria za wananchi?
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Makosa ya Musiba, hayalingani na tamaa ya Membe!

    Mboga ya kisamvu imeingia aje kwenye mada ya hukumu? Rudia kusoma hoja
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kwamba CCM imeanza mikakati ya kutafuta fedha za kampeni

    Uchaguzi wa 2025 bila rushwa hupiti na sisi wapiga kura tumeisha wasoma sio laki moja ni hela ya miaka mitano tunamalizana kabisaaaa maana tunajua ukipita utapata zingine kwa kuwa sisi hatuna uwezo wa kuwazuia msichote
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge hata aikosoe vipi Serikali mwishoni utasikia ”Naunga mkono hoja.” Inashangaza!

    Asipounga mkono harudi bungeni
  9. Z

    JamiiForums Tanzania CHADEMA warudisheni kundini Halima Mdee na wenzake 18 ili maadui zenu waaibike

    Usemayo ni kweli lkn ili warudi na wasamehewe ni lazima kwanza wajiuzulu ubunge itawezekana?maana ili uende mbinguni ni lazima ufe nani yu tayari kufa ili aende mbinguni au ni rahisi kuacha mishahara, posho na kiinua mgongo ili arudi chadema?
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Nashauri Wagombea Urais wawe wamepitia Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC)

    Ni sawa lkn bora zaidi wangefanyiwa mdahalo ili kuwapima uwezo wao iwe ni sheria
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari msilazimishe watu wamsifie Rais mnapofanya mahojiano nao

    Jiwe ilikuwa ni lazima umsifie au utajua hujui
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Wingi wa makanisa yanatusaidia kwenye uchaguzi usituharibie
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kiroho Kenya, Tanzania tuko hatarini

    Kwani hao vijana wanayafanyia Tanzania?
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Msanii Roma Mkatoliki amevuka mstari mwekundu lakini anachekewa tu!

    CHAWAZZZ ktk ubora wake
Back
Top Bottom