WAPENDWA TUMEIBIWA GARI MITSUBISH CANTER TANI 2 AINA YA DAMPLER MAENEO YA STOP OVER BARABARA YA ZAMANI YA MOROGORO KARIBU NA KWA MBUYEKU.
NAMBA YA GARI NI T815DJF. RANGI BLUU NA ANGALIA PICHA HAPO JUU
TAARIFA kwa 0754750568 joseph mugyabuso au 0718800537/9754890664 margreth Kyai Mugyabuso...
Kwanza muhimu kufahamu kuwa mtoto wa mwaka mmoja hua anapoteza hamu ya kula, Huanza kuchagua vyakula atakavyokula na akitafuna chakula kidogo huzungusha kichwa pembeni kuashiria kuwa hataki kula tena. Walezi wanaomlea huanza kufikiri labda mtoto anaumwa lakini ukweli ni kuwa kuna sababu nzuri ya...
Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini wanatufanyia ivi lakini?
Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.