Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,082
- 2,354
Mimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka
bebii nimekumic..
Mimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka
little angle huku mtandao unasumbua kidogo nitakujibu kwa ufasaha ndugu yangu usihofu
mwanzoni ilikuwa ni Bsc in home economics and human nutrition,sasa hivi wamezitenganisha..naomba unambie unachojua kuhusu hiyo kozi kwa sababu pia ni moja kati ya dreams zanguMimi nilichaguliwa hapo inaitwa home economics nikaipotezea sio lazima uende kwani wewe unaishivp huna dream za kitu flani? Somea kitu unachotaka
jamani ndugu zangu mimi nauliza kama hiyo kozi ya human nutrition pale SUA kama ina soko? Mana nataka niichange